haaaaaaa leo naenda kanisa la ufufuo na uzima
Kwa hiyo watu wapige kimya kuhusu elimu ya RC na wanaoendelea kuondomewa ktk nafas zao kisa vyeti wale sio watu ni nyau wale daaa kalamu yangu nimekusomaSi kila ampingae Gwajima hana cheti kama kamwokota Makonda kwenye cheti si kila mtu....
Arudishe misukule tuu kuliko kujaza watu habari za vyeti
Hata ingekuwa ni Mtoto wa Tembo, wanaweka Space!chanjo zote 3 mtoto alipata siku moja, this guy Bashite is too naive
Haya ngoja tusikilizir povu lake ndani ya YouTube live streamAmeshatoa taarifa Gwajima atawajibu clouds media waliomrekodi huyo dada kuanzia saa nne asubuhi leo na atapatikana live youtube
A single touch double (possibly multi) manifestation!Sio kujidhalilisha tu we subiri atatajiwa hadi mabwana aliotembea nao na idadi ya mimba alizokwisha chomoaga wapi saa ngapi na nani...sio kwa mzee yule wa ubungo
Umeona uzuru wa kushutumu na kutoa evidence wewe mwenyewe badala ya kumyaka mtuhumiwa atoe evidence?Kijiji kipi maana kadi haina jina la mahali
I will babe...Usisahau kurusha real time updates tafadhali