Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Weka proof ya hayo yote uliyoyaandika

Au sabahu unayasoma

Sasa wewe nawe ni wale wale fata mikumbo


Na hao wanaowavuta waambie watumie akili kudanganya hata CIA waavute kuwafanyia kazi.

Fata mkumbo fata porojo

Na bado mtaisoma namba hadi mtie cheche mkitembelea miguuu


Makonda oyeeeeeee
FB_IMG_1489784733692.jpg
 
Kwa hiyo watu wapige kimya kuhusu elimu ya RC na wanaoendelea kuondomewa ktk nafas zao kisa vyeti wale sio watu ni nyau wale daaa kalamu yangu nimekusoma
Huwezi nielewa kwa kuwa ushaamua wimbo wa kuimba....

Hapa ni kuhusu huyo kijana Soud unadhani aliamua mweyewe kurusha kipindi?
Mnamshambulia bure hana elimu ya bahati mbaya kama huyo Makonda
 
Akijibu kitu leo basi ni kweli.

Kama kiongozi wa dini mtukufu inapaswa awaombeebkimya kimya wanaomsema na sio jutamvaza chuki.
 
Akijibu kitu leo basi ni kweli.

Kama kiongozi wa dini mtukufu inapaswa awaombeebkimya kimya wanaomsema na sio jutamvaza chuki.
Ulivyoandika kama bata vile!
Au ni kupaniki baada ya mmeo kuvurunda,
haya sasa huyo ameenda kutengeneza uongo na kughushi tena cheti cha mtoto cha kuzaliwa ikabumbuliwa...
Bado kaenda kuvamia studio huko, enhee mwaka huu mnalo!
Leo kwani kaelekea kanisa gani kuangua kilio?
 
Nkiangalia videos za yule mdada akiwa amebeba na mtoto, kwa macho yangu ya kivivu naona kabisa kuwa yule mtoto anafanana na Gwajima pure.
Ila Bashite ndo kayaleta haya ili tusahau issue ya vyeti, yeye alete tu vyet tukahakiki shule alizosoma amwache Gwajima alee mtoto wake, hayo sie hayatuhusu.
 
Mi nadhani gwajima kadhalilishwa na kwa njia mbaya mi nadhani angeenda mahakamani kufungua kesi ili mama mama huyu ajute au inaweya ikawa kinyume vilevile
 
Back
Top Bottom