mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
yule yuule Zubeda................think by reasoning and not feelingsMimi sitaamini hii dawa labda mpaka Dr. Slaa aende loliondo na kunywa hiyo dawa ndipo nitaamini!!!!!!
yule yuule Zubeda................think by reasoning and not feelingsMimi sitaamini hii dawa labda mpaka Dr. Slaa aende loliondo na kunywa hiyo dawa ndipo nitaamini!!!!!!
Labda sijasoma thread zote lakini sijaona maoni ya MMKJJ kuhusu tiba hii ya ajabu. Tafadhali tunaomba nasaha zako, kama vile ulivyotupatia kuhusu DECI na kweli ikawa ni utapeli mtupu.
Enhe hebu tupe dondoo, kwani Dr Slaa anaumwa nn mpaka aende Loliondo?
kina Mahita, Hosea,Laizer na watu wakubwa kibao wameshapiga hii dawa . Wewe bado unaifananisha na DECI? Hivi ngoja nikuulize swali ina maana kama unafikiri ni changa la macho madhara yake yatakuwa ni nini? Kutapeliwa hio tsh 500? Au..
Ahahahaaah!!Mkjj ni jini
Sh 500 kila mtu kwa watu laki moja tu ni sh ngapi? Huyu mjanja sana anatapeli kutumia uwingi wa watu. A very clever stratagem!