Mwanakijiji yuko wapi kuhusu tiba ya babu wa Loliondo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanakijiji yuko wapi kuhusu tiba ya babu wa Loliondo?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zak Malang, Mar 13, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Labda sijasoma thread zote lakini sijaona maoni ya MMKJJ kuhusu tiba hii ya ajabu. Tafadhali tunaomba nasaha zako, kama vile ulivyotupatia kuhusu DECI na kweli ikawa ni utapeli mtupu.
   
 2. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkjj ni jini
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  kina Mahita, Hosea,Laizer na watu wakubwa kibao wameshapiga hii dawa . Wewe bado unaifananisha na DECI? Hivi ngoja nikuulize swali ina maana kama unafikiri ni changa la macho madhara yake yatakuwa ni nini? Kutapeliwa hio tsh 500? Au..
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Sh 500 kila mtu kwa watu laki moja tu ni sh ngapi? Huyu mjanja sana anatapeli kutumia uwingi wa watu. A very clever stratagem!
   
 5. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mimi sitaamini hii dawa labda mpaka Dr. Slaa aende loliondo na kunywa hiyo dawa ndipo nitaamini!!!!!!
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 6,027
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Mwanakijiji ndiye unayemwamini kama nabii wako wa kukufunulia kwamba huyo Mchungaji ni tapeli au la? Use your common sense!
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  bwa ha ha ha
   
 8. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mkjj yy ndio anaejifanya ana maono, na wengine humuamini sana, huyu ndio babu wa jf
   
 9. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mwanakijiji mumeo? mpaka atoe comment ndo ufurahi? kweli kudumaa kiakili ni shida kubwa sana kwetu. Kuwa na fikra binafsi mkuu....dont wait for a feedback or an opinion in everything u do...
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  muacheni mzee wa watu jamani yuko kwenye foleni ya kikombe
   
 11. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  l support 100% mpiganaji
   
 12. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,785
  Likes Received: 6,278
  Trophy Points: 280
  Ninapata shida mno kuona watu wanalinganisha dawa ya Babu na mradi wa DECI.

  Unadhani lile nyomi kule Loliondo limekuja tu? wale waliopona magonjwa ''sugu'' wamewaambia ndugu, jirani, marafiki na wapenzi wao ndo maana kila mtu anakimbilia kule.

  Bahati mbaya sana yale magonjwa ''sugu'' jamii inayaona kama ya ''aibu'' na ndo maana walio wengi hawakuwa tayari kujitokeza hadharani na kuthibitisha kwamba wamepona.
   
 13. M

  Makiyuve Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa ni kuwa hiyo mia tano yenyewe haichukui yote. Shillingi mia tu ndo yake na mia nne inaenda kanisani. Watu wanaenda kwa sababu ni kweli wanapona. Hiyo huwezi kuifananisha hata siku moja na ishu kama ya DECI coz yeye hakushawishi uende ni matatizo yako ndo yatakayokupeleka na hakuna unachowekeza kule. Hata hospitali za government kuanzisha file ni sh. elfu mbili na bado unaweza ukatoka kapa sasa wewe unaona dili kutoa sh. 500?
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kama unaona Babu anafaidi hizo 500 si nawewe uanzishe tiba yako ebo!
   
 15. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimeamin uvccm wamevamia jf. K*** zenu hamtuwezi hata mkisaidiwa na TIS.
   
 16. kasitile

  kasitile Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana mtoa mada alikuwa na lengo zuri la kutaka kujua maoni ya Mwanakijiji.Mwanakijiji ni mmoja kati member active ktk JF,lakini kama tutakuwa na utegemezi kama aliouonyesha mtoa mada hii ni hatari sana.Huwezi kuwa great thinker kama una akili tegemezi au kusubiri fulani aseme ndipo nawe useme au uamini kitu fulani.Anyway sio issue sana,tuko pamoja
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Thread zote hizi hujapata uelewa tu wa nini kinachoendelea? Kwa taarifa yako mzee mwanakjj yupo kwenye foleni ya kikombe ndo maana humuoni jamvini...bado ww tu.
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenichekesha, kwa imani ileile unayotumia kuamini MKJJ anakueleza vitu live, wenzako nao wanaitumia kwenda kwa babu!
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  hahhah ..mkubwa wa takururu kaenda sembuse wewe.
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Enhe hebu tupe dondoo, kwani Dr Slaa anaumwa nn mpaka aende Loliondo?
   
Loading...