Mwanakijiji amejidhalilisha sana kwa uzi wake ule uliojaa chuki. Yeye yuko maelfu ya maili lakini anajiona anajua kila kitu kilichotokea Zanzibar just this morning!!!
Viongozi wa kanisa katoliki wanajua wanalolifanya, they have always done whats right. They will do what is right.
Mjj yupo marekani hana shida tukichinjana,yeye anaratibu akiwa mbali ya uwanja wa mapambano
Chochote wakachosema
bado jukumu la kukamata wahalifu na kuwapeleka mahakamani lipo kwa serikali....
Pengo sio Nyerere,yes ni sad Padri kauwawa but si kwamba waluiomuua huyo Padri wana
baraka za waislam wote wa TZ....sioni umuhimu wa Kauli za viongozi wa dini kwenye 'POLICE CASE'
hashycool
The Boss...huoni kwamba viongozi wa ukristo wanatakiwa kusema japo tujihadhari kutokana na trend yaa mauaji yanayoendelea? Wanaweza wasiwe police wa kukamata wahallifu lakini wanaweza japo kutuambie sie wafuasi wao tuwe na tahadhali?
hapo ndio mimi huchoka, ivi kwanini mnasema waislam ndio wamemuuwa? Why? Kwa evidence zipi jamani tunachafuana humu? Ivi hizi ndio busara? Hakika inasikitisha. Mareporte wa matukio wamesema ni watu wasiojulikana sasa iweje simply mnasema ni waislam?
Watuw engi wanafikiri -kwa kusoma vibaya theolojia - Yesu alikuwa anapenda watu wadhulumiwe au wafanywe duni. Mgongano wake na watawala wa zama zake (viongozi wa serikali na wale wa kidini) ulitokana na yeye kutovumilia dhulma. Au ukandamizaji. Jinsi ambavyo aliwtetea maskini (mama mjane) na hata matajiri (Zakayo) kulitokana na yeye kutambua kuwa wote ni wana wa Mungu.
Lakini kuna vitu ambavyo hakuweza kuvivumilia kwa kuitisha vikao, kutoa matamko ya kubembeleza. Mojawapo ni ni lile la kuingia Hekaluni. Alipokuta watu wamegeuza hekalu kuwa soko hakuitisha kikao, wala kuhubiri.. alifanya hivyo huku akiwatimua watu hekaluni na hivyo kuwaudhi watawala na kuchochea hasira dhidi yake.
Askofu Mkuu Pengo NI LAZIMA atoe kauli iliyo wazi dhidi ya utawala wa CCM na jinsi walivyofikisha taifa hapa. Haya ya kuremburiana na watawala na kujifunika kitanda kimoja nao ndio yamelifikisha taifa hapa.
Mie naona una upungufu wa mawazo sahihi, unasema udini umeletwa na kikwete ebu define udini ni nini kisha niambie nani mdini kwa evidence zipi? nikurudishe nyuma kabla ya uchaguzi ivi ni dhehebu gani lilitoa ilani ya uchaguzi? na walihamasishana kumchagua nani? jamani kama kweli mna akili za uzalendo acheni upogo, viongozi wenu wa kiroho wanapokosea mkubali kuwa walikosea otherwise mnakuwa kama mnajipaka mavi matokeo yake wote mtaonekana hamna uzalendo na nchiudini uliletwa na kikwete hapa nchini. nani hajui hlo! afute kauli yake kwenye hotuba yake ya kwanza pindi anafungua bunge. kwa mauaji ya zanzibar serikali ndo ya kulaumiwa. Pengo atoe tamko gani kabla ya serikali. m ningeombwa nimalize udini ningeanza na zanzibar kuchanganya uongozi 50% wakristo na waislamu ili kutoa dhana ya zanzibar kuwa nchi ya kiislam. kwanini viongozi wote wa kiserikali ni waislam? kama wapo wakristo nijuze. hiyo dhana wanataka kuileta hata Tanganyika. Hatutakiiii.
M.M anahamasisha sana watz wachinjane...wakati yy akiwa ughaibuni
kama kusoma hujui hata picha huoni?
Hapo ndio mimi huchoka, ivi kwanini mnasema waislam ndio wamemuuwa? why? kwa evidence zipi jamani tunachafuana humu? ivi hizi ndio busara? hakika inasikitisha. mareporte wa matukio wamesema ni watu wasiojulikana sasa iweje simply mnasema ni waislam?
Mwanakijiji si mwanasiasa hivyo haihitaji kujipendekeza kwa jamii yoyote.
Kwa mfano, Mwaka 2009 tulikuwa tunapitisha sheria ya Baraza la Usalama wa Taifa. Wakaja kuniomba kuwa sheria ile mbaya na inajaza watu wengi kwenye chombo hicho. Tuka mobilise wabunge kuikataa. Haikukatiza kwenye floor. Mwaka 2008 waliomba sheria yao iboreshwe ili kuondoa kipengele kinachowazuia wao kukamata. Maana sheria ya sasa inasema wao kazi yao ni kushauri tu. Nakumbuka nilifanya kazi hiyo na MwanaKijiji, alinisaidia sana kutafiti na kuandika kwa uzoefu wake wa Marekani kipengele kipya. Hatukufanikiwa na hivi sasa TISS hawana meno!