Mwanajf yupi atalipa zaidi?

Mwanajf yupi atalipa zaidi?

mjambaji

Senior Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
174
Reaction score
98
Hivi kwa mfano tuchukulie kwamba moja ya vigezo na masharti ya kujiunga jf ni kulipia sh.1000 kwa kila post utakayotuma jf tangu siku ya kwanza ulipokuwa member, na sh. 500 kwa kila hoja(comment) unayochangia, na tuchukulie kwamba kigezo au sharti hili liliwekwa mwishoni kabisa na kwa maandishi madogo sana kiasi cha wengi kulipuuza na kukimbilia kujisajiri harakaharaka, je? unadhani mwanajf yupi atalipa "mahela mengi" zaidi na yupi atafilisiwa Mali zake zote na adhabu juu kwa kushindwa kulipa deni atakalokuwa anadaiwa?
 
Madhara ya kulala njaa haya usiku unakuwa mrefu na ndoto za mang'amung'amu na hatimaye ukistuka unakuja na post kama hii
 
Sio lazima kupost sredi..wakati mwingine unaweza kuwa mchngiaji mzuri tu wa post Za wenzio....
 
mjambaji umekula mandondo ya wapi wewe?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwa mfano tuchukulie kwamba moja ya vigezo na masharti ya kujiunga jf ni kulipia sh.1000 kwa kila post utakayotuma jf tangu siku ya kwanza ulipokuwa member, na sh. 500 kwa kila hoja(comment) unayochangia, na tuchukulie kwamba kigezo au sharti hili liliwekwa mwishoni kabisa na kwa maandishi madogo sana kiasi cha wengi kulipuuza na kukimbilia kujisajiri harakaharaka, je? unadhani mwanajf yupi atalipa "mahela mengi" zaidi na yupi atafilisiwa Mali zake zote na adhabu juu kwa kushindwa kulipa deni atakalokuwa anadaiwa?

= kujisajili

Haitatokea watu kulipa wanachochangia.
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa sijui hadi sa hvi watakuwa wamefikisha million ngapi yani! je na wale wenye post ndogo kuliko wote mim sitakosekana kwenye top ten

attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom