Mwanajeshia apewa kipicho kikali na Matrafik..

Mwanajeshia apewa kipicho kikali na Matrafik..

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
1.jpg 1b.jpg
Huyu mjeshi atakuwa ......
Hii imetokea jana Bongo
 
Hakuna kitu kama hicho wewe lzm wenzake wangetokelezea hapo......
 
Mwanajeshi mmoja trafiki wawili hata yeye ni binadamu anaweza akazidiwa
 
Atarudi na wenzake huyo vitambi vyote vya trafik vitacheua rushwa yote wanayokula, sikilizieni kesho mtasikia!!
 
Hakuna kitu kama hicho wewe lzm wenzake wangetokelezea hapo......

King chezeya bofloooooo weye...
Hii ni kweli kabisa imetokea stand ya moshi jana
Huoni wachaga wamejazana hapo wanashangaa mjeshi anavyotandikwa
 

4_146.jpg

.
article-2097673-119F7C52000005DC-281_634x443.jpg


A Maldives police officer, in blue, charges soldiers during a clash in the island nation's capital Male


article-2097673-119F7D46000005DC-965_634x423.jpg



Maldives soldiers, left, are involved in a clash with police officers, right, in Male, Maldives


 
Hiyo kali sana kichapo tu!na discpline itafuatia baada ya kichapo
 
hii itakua kama vuta ni kuvute vile..! na mpaka ije kucost maisha ya mtu ndio viongozi wao watakapo jua ukilea kidonda utakuja kukata mguu..! uhasama huu mdogo mdogo ukiendelea iko siku mtakuta polisi kama tisa wamekufa na hapo jamaa nao watataka kurevenge ndio hapo ngoma itakapo anza rasmi..! mimi sio nabii ila hilo linaweza kufika uko..!?
 
Jamani huyo jamaa alijifanya ni mwanajeshi ndio raia wema wakatoa taarifa kwa polisi waliokuwa jirani ambao ni hao trafic police.
Na wao walimkabili wakijua fika kuwa yule sio mwanajeshi.
 
Huyo aliazima nguo za kijeshi, wasingethubutu kumfanyia hivyo.
 
kuna mwanajeshi alipigwa na raia kilichofwata kesho yake usiombe kichapo mtaa mzima kila mtu alikuwa anarudi home kabla ya giza
 
  • Thanks
Reactions: awp
naipenda nchi yangu ya tanzania! ina kila aina ya burudani! kuanzia waziri anayesema nchi yetu ni muungano wa zimbabwe na tanganyika! mbunge zito anayetaka kushusha umri kwa maslahi yake na hiyo drama hapo juu! lolest! karibuni watalii
 
  • Thanks
Reactions: awp
Back
Top Bottom