Mwanajeshia apewa kipicho kikali na Matrafik..

Mwanajeshia apewa kipicho kikali na Matrafik..

Boflo huku ni saizi yako kabisa. Ulivyojichanganya kwenye siasa kwakweli sikukuelewa kabisa.
 
View attachment 70289View attachment 70290
Huyu mjeshi atakuwa ......
Hii imetokea jana Bongo
kama ni kweli, basi wamefanya vibaya sana. wanajeshi ni watu watulivu na wastaarabu sana si kama polisi. halafu, hapo alikuwa na uwezo wote wa kuwachapa hao polisi, kwasababu yeye amejifua sana kwenye combat martial art kule jeshini hao polisi hawana nguvu kabisa za kupigana, wanapigwa hata na vibaka tu mbona....sema kwa kulinda adabu na kuogopa ataadibishwa na jeshi ndo maana hajafanya varangati hapo na kuna uwezekano mkubwa atarudi na wenzake, huyo polisi hapo leo ataondoka hatafanya doria tena humo barabarani....au pengine walikuwa wamemkamata mtu anayejifanya mwanajeshi akivaa nguo za jeshi kumbe sio, we never know, lakini kama uyo jamaa alikuwa mwanajeshi, wamemdhalilisha sana na hawezi kukubali, ndo roho ya kijeshi hiyo, lazima alipize kisasi, asipolipiza huyo hafai kuwa mwanajeshi kwasababu amekubali kushindwa...anaweza hata kupewa adhabu kule kambini kwasababu ya ubwege huo, analiaibisha jeshi kwanza kwamba lina watu wa kuchezewa na dhaifu..mimi sifanyi jeshini kwa sasa, pamoja na kwamba nilishapitia sana huko jeshini, ...hao traffick au polisi wa kawaida hawa wa kova, hata wakita wanne peke yangu, kama hawana bunduki napiga wote hadi wakimbilie kituoni kuomba msaada....nachakaza wote na hata hawataamini kilichotokea.
 
Inaonyesha jisnsi gani Wanajeshi wamekua Dhaifu nao...
 
Hahahahaha🙂 Na wao inaonekana wamepata chance ya kurudishia kwa jamaa wa TPDF....KWani wao traffic ndio wakunyukwa tuu kila siku na hao TPDF???? Mwosha huoshwa yakhe!!
 
Imezoeleka kwamba Mjeshi ndiye hupiga Polisi lakini kwa Moshi jana Imekuwa Tofauti sana Baada ya huyu jamaa kujaribu kuzuia Traffic kutoa adhabu kwa Dereva Daladala Katika kituo kikuu cha Mabasi Moshi Mkoani Kilimanjaro

Jamaa kala mbata za kutosha...
 
hii itakua kama vuta ni
kuvute vile..! na mpaka ije kucost maisha ya mtu ndio viongozi wao
watakapo jua ukilea kidonda utakuja kukata mguu..! uhasama huu mdogo
mdogo ukiendelea iko siku mtakuta polisi kama tisa wamekufa na hapo
jamaa nao watataka kurevenge ndio hapo ngoma itakapo anza rasmi..! mimi
sio nabii ila hilo linaweza kufika uko..!?

Wewe,mbona walivyowaipiga traffic hukutokwa povu? una chuki binafsi na mapolisi!
 
Boflo na invention zake...hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom