Mwanajeshi aua Pugu-Kigogo

Mwanajeshi aua Pugu-Kigogo

Pole yao ila wanakera wanachapa hadi abiria mbaya zaidi wanakuwa na rungu dawa ya mbu wanawasha njiti then wanaspray kwa kutumia ile dawa kwenye magari wanayopishana nayo,waendesha bodaboda ndio balaa wanachomoa stend ya pikipiki ikiwa kwenye mwendo inakwaruza lami na kutoa cheche kubwa,kwa kweli jana vurugu sana
 
Hyo iman yako ya kristo inayosema ukiua kwa kujilinda hakuna dhambi imeandikwa kitabu gani?weka mistari,km huna uache kuropoka,viroba na bang,hutakiw kujenga hoja kwa ktu usichokua na iman nacho.
ni kweli kabisa mkuu,kuua ni dhambi na ni kosa kubwa sana but kama utaua for your own defence kwa imani yangu ya ukristu hiyo siyo dhambi kabisa.ni kama vile ambavyo jambazi kakuvamia home we ukamuwahi na kitu cha ufoo saro...haina dhambi hiyo.
 
Hyo iman yako ya kristo inayosema ukiua kwa kujilinda hakuna dhambi imeandikwa kitabu gani?weka mistari,km huna uache kuropoka,viroba na bang,hutakiw kujenga hoja kwa ktu usichokua na iman nacho.

takibirrrrrr
 
FAMILIA jamani sio jambo la kuanza ku bargain usalama wao ati!!!!!!!!

Mtu uko na familia usiku halafu watu huwajui kama hivyo wanazingua unaanza kuwaambia "jamani nina
bastola shauri zenu!!!!!"

Wengine tunapokuwa na familia usiku kama hivyo unakuwa in aura state kwqmba familia kwanza mengine baadaye sasa inapokuja suala kama hilo ni adrenaline inaingilia mambo hapo! !!!!!! Imagine mkeo na watoto wanalia kutaka msaada wako kwa sauti za kulalamikia usalama wao katika hali hiyo kweli unaweza kukaa na kuanza kuwaambia hao wavamizi maneno???!!!

Mimi simlaumu huyu jamaa kabisa namuombea apate fair trial arudi kulea familia yake!!!!!Idadi ya vifo na majeruhi ni sababu ya "marking ability" ya shooter!!!!!! Yaani ni upele ulipata mkunaji mwenye kucha!!!!!

Na sie tuliobaki Mungu atuepushe na situation kama hii!!!!

Muumba azilaze roho za marehemu pema peponi na majeruhi awape aafuen ya haraka!!!!!!!!!
 
Hawa kama walikua raia wema, basi wamejitakia kwa maana ktk sikukuu kama hizi wezi wengine hujidai nao wanashehereke mwaka mpya kumbe wanataka kupora mali. Ingawa inasikitisha sana lakini watu tujifunze kutopenda kusherekea ktk hali hatarishi.
 
"Ukiambiwa usifanye,wewe ukajitia ujeuri,wewe ndiyo una nguvu ....watakupiga tu. Na mimi nasema pigeni,maana tumechoka" PM Pinda. Kauli ya serikali kwa matendo. Hongera Mh Pinda...
 
Pole yao ila wanakera wanachapa hadi abiria mbaya zaidi wanakuwa na rungu dawa ya mbu wanawasha njiti then wanaspray kwa kutumia ile dawa kwenye magari wanayopishana nayo,waendesha bodaboda ndio balaa wanachomoa stend ya pikipiki ikiwa kwenye mwendo inakwaruza lami na kutoa cheche kubwa,kwa kweli jana vurugu sana

Wawania Urais kwa kupitia wana bodaboda wawape elimu ya kutosha sana hawa watu!

Cc:Edward Lowasa, Pasco wa JF ,January Makamba , Kamisaa
 
Last edited by a moderator:
Vifo vingine ni kama vya kujitakia. Kama ni kweli hali ilikuwa hivyo basi huyo mwanajeshi hakuwa na jinsi bali kujiokoa na kuiokoa mali na familia yake. Nadhani litakuwa ni fundisho kwa vijana wenye tabia kama hiyo.
 
Ni vizuri tena hao ni wachache. Ni wakati muafaka kuwafundisha wahuni kama hao ustaarabu kwa njia ya upanga.vijana siku hizi hawatumii akili badala yake wanatumia ''ma------'' kawakomesha kuleni mpunga wa arobaini sasa kama kawaida yenu
 
Kama ni mjeshi sishangai.....!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom