Mwanajeshi aua Pugu-Kigogo

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,690
2,000
Usiku wa kuamkia leo,mwanajeshi ambaye jina bado halijapatikana,amewapiga vijana kadhaa risasi,watatu wakiwa marehemu hadi sasa wakati wengine watano wakiwa mahututi hospitalini.
Tukio hili limetokea maeneo ya Kigogo Check point maeneo ya Pugu,vijana hao walikuwa wakisherekea mwaka mpya kwa style ya kurukia magari,kugonga body za magari na kuchoma matairi.Mjeshi huyo akiwa na familia yake ndani ya gari aina ya Rav4,vijana walianza kuvamia gari lake kwa fujo na kugonga bodi,hata alipowasii kwa ishara waache wanachokifanya walizidi kuendelea,kwake alidhani ni vibaka au majambazi;basi aliwamiminia risasi na kuua watatu na wengine wanne ni majeruhi.
Mjeshi alijipeleka ktk kituo cha Sitaki Shari-Ukonga,na uchunguzi unaendelea.hivi ndivyo mwaka mpya tulivyoupokea huku maeneo ya Pugu Kigogo.
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500

habari ya kusikitisha sana but sasa hao nao ndo walikuwa wanasherehekeaje hivyo?kwanini uende ukaharibu cha mtu kwa furaha yako mwenyewe?kama aliwastahi kiasi hicho hadi pale alipodhani ni majambazi mi nampa big up sana mjeshi.EVERY MAN IN THIS WORLD HAS A RIGHT TO PUT FOR HIS OWN DEFENCE.IT IS CRIME AGAINST THE LAW NOT DEFENDING YOURSELF
 
foshizzle

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
374
0
Hawa vijana wa dar kama wamelogwa. Yaani wanakaa barabarani high way gari inawapisha wao badala ya wao kupisha gari. Halafu ikipita wanagonga kwanyuma nyingine wanavunja vioo. Jana walikua wanafanya fujo sio kusherehekea. Niliiona pale external
 
Dean

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
644
250
habari ya kusikitisha sana but sasa hao nao ndo walikuwa wanasherehekeaje hivyo?kwanini uende ukaharibu cha mtu kwa furaha yako mwenyewe?kama aliwastahi kiasi hicho hadi pale alipodhani ni majambazi mi nampa big up sana mjeshi.EVERY MAN IN THIS WORLD HAS A RIGHT TO PUT FOR HIS OWN DEFENCE.IT IS CRIME AGAINST THE LAW NOT DEFENDING YOURSELF
kumbe yupo sawa,tujifunze kusherehekea vizuri sio kufanyia watu fujo
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,428
2,000
Wamejitakia wenyewe hao vijana, kuna nafasi kubwa huyo mwanajeshi akaachiwa huru...
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
kumbe yupo sawa,tujifunze kusherehekea vizuri sio kufanyia watu fujo

ni kweli kabisa mkuu,kuua ni dhambi na ni kosa kubwa sana but kama utaua for your own defence kwa imani yangu ya ukristu hiyo siyo dhambi kabisa.ni kama vile ambavyo jambazi kakuvamia home we ukamuwahi na kitu cha ufoo saro...haina dhambi hiyo.
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,043
2,000
Kwani hao vijana walikuwa na silaha? Kwa nini hakuita polisi wawakamate? Hata hivyo siyo vizuri kumfanyia masihara mtu usiyemfahamu maana kukudhuru ni rahisi hasa kama ana stress ametoka nazo kwa mkewe/mumewe/ ofisini.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,953
2,000
Angewategua viuno na magoti inatosha ili wasimulie maisha yao yote.
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
Kwani hao vijana walikuwa na silaha? Kwa nini hakuita polisi wawakamate? Hata hivyo siyo vizuri kumfanyia masihara mtu usiyemfahamu.

hivi ulishawahi pata tukio la kuvamiwa halafu ukawaita polisi?watakapofika utakuwa tayari marehemu.cha muhimu uchunguzi wa kina tu ufanyike ili kuona kama mjeda alichukua hatua hiyo bila kuassess situation yenyewe ilivyo.kama aliiassess na akaona ni hatari kwa usalama wake then he was right to fire dem up
 
Dean

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
644
250
ni kweli kabisa mkuu,kuua ni dhambi na ni kosa kubwa sana but kama utaua for your own defence kwa imani yangu ya ukristu hiyo siyo dhambi kabisa.ni kama vile ambavyo jambazi kakuvamia home we ukamuwahi na kitu cha ufoo saro...haina dhambi hiyo.
wapumzike kwa amani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom