Mwanajeshi aua Pugu-Kigogo

Hawa ndo vijana wa dar, huwa wanakera sana, huyo mjeshi ninampongeza na ingekuwa uwezo wangu ningemhamisha mkoa tu aendelee na shughuli zake. Ditopile alipompiga risasi mtu tulidhani ni mjinga, haya ndo matokeo. Laiti watu wengi wenye magari wangefanya kuwaua vibaka au wapuuzi kama hawa vijana wangeishajifunza.

Ngoja tupate serikali imara tutawaondoa dar warudi kulima.

tafakari kabla hujachangia mada kuepuka kutoa pumba!!
 
Hawa ndo vijana wa dar, huwa wanakera sana, huyo mjeshi ninampongeza na ingekuwa uwezo wangu ningemhamisha mkoa tu aendelee na shughuli zake. Ditopile alipompiga risasi mtu tulidhani ni mjinga, haya ndo matokeo. Laiti watu wengi wenye magari wangefanya kuwaua vibaka au wapuuzi kama hawa vijana wangeishajifunza.

Ngoja tupate serikali imara tutawaondoa dar warudi kulima.
kwa ditopile hapo umekunya.
 
Ni ujinga wa Kitanganyika elimu ikiwa ndogo hayo ndo mazara yake,nampongeza sana uyo mwanajeshi kwa kujihami kabla kuvamiwa,hapa Tanganyika huwa kuiba ni jambo la kawaida hata kama mtu sio mwizi., huku kusherehekea ndo usumbuwe na wengine? Kwa ujinga kama huu ambao hata mm nimekua nikiushuhudia sehemu nyingi ambazo wanakuwa wakifanya pindi kama itakuwa hata kwenye mipira pamoja na hizo sherehe za mwaka mpya.

Naona amewauwa kdg sana ilitakiwa awaangushe atleast 20 ingepaikana heshima, huwa nasema mara kwa mara labda Mungu asinipe uwezo wa kumiliki silaha nitakua nawauwa na kuwalipia fidia kili siku.
 
Mpuuzi wewe hawakuwa na silaha sasa vioo walikuwa wanavunjia mboo? Walipata walichostahili, mji umejaa wazurulaji wamekimbia kulima vijijini wankuja kuleta fujo za kijinga
 
hiyo ni stail gani ya kusheherekea kwa kuvamia magari ya watu,sio kila mtu anauvumilivu wa kipuuzi namna hiyo.
 
yaani mwaka mpya nilikutana na kundi la vijana wameziba njia,kidogo wanizingue,wakaishia tu kutukana matuzi ya mamazao!
 
mi ndo maana bastola yangu nimeiuza.SITAKI KABISA watu wanatia hasira muda mwingne
 
Hawa ndo vijana wa dar, huwa wanakera sana, huyo mjeshi ninampongeza na ingekuwa uwezo wangu ningemhamisha mkoa tu aendelee na shughuli zake. Ditopile alipompiga risasi mtu tulidhani ni mjinga, haya ndo matokeo. Laiti watu wengi wenye magari wangefanya kuwaua vibaka au wapuuzi kama hawa vijana wangeishajifunza.

Ngoja tupate serikali imara tutawaondoa dar warudi kulima.
umejitahidi kwa kiasi chako kuandika vizuri lakini nashangaa dharau zenu kwa sekta ya kilimo zinatoka wapi mpaka mdhani kuwa ni kazi ya 'vibaka' na watu walioshindwa maisha!
 
Back
Top Bottom