FAMILIA jamani sio jambo la kuanza ku bargain usalama wao ati!!!!!!!!
Mtu uko na familia usiku halafu watu huwajui kama hivyo wanazingua unaanza kuwaambia "jamani nina
bastola shauri zenu!!!!!"
Wengine tunapokuwa na familia usiku kama hivyo unakuwa in aura state kwqmba familia kwanza mengine baadaye sasa inapokuja suala kama hilo ni adrenaline inaingilia mambo hapo! !!!!!! Imagine mkeo na watoto wanalia kutaka msaada wako kwa sauti za kulalamikia usalama wao katika hali hiyo kweli unaweza kukaa na kuanza kuwaambia hao wavamizi maneno???!!!
Mimi simlaumu huyu jamaa kabisa namuombea apate fair trial arudi kulea familia yake!!!!!Idadi ya vifo na majeruhi ni sababu ya "marking ability" ya shooter!!!!!! Yaani ni upele ulipata mkunaji mwenye kucha!!!!!
Na sie tuliobaki Mungu atuepushe na situation kama hii!!!!
Muumba azilaze roho za marehemu pema peponi na majeruhi awape aafuen ya haraka!!!!!!!!!