'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

Umaarufu haumkuti mtu kitandani mi nilishawa kuvaa capelo tena sio ya jeshi ila inashabihiana tu walinikamata askari nikabishana nao sana bahati akapita mwanajeshi akanikuta nimeivaa na bado tunalumbana na askari kiustaarabu akaniomba ile kofia nikampa lakini askari walikua wanataka wanipeleke kituoni baada ya hilo tukio walizomewa sana na watu sema nashkuru miaka ile magazeti yalikua machache sana otherwise wangenipa jina kama ccm inavyompaisha huyo jamaa
 
Labda kosa la huyu askari ni kupiga picha na wanasiasa wa Chadema. Wanaweza kumshtaki na kumfunga lakini sijui watatumia sheria ipi. CCM kuwa na wanasiasa polisi na wanajeshi ni sawa, lakini si upinzani! Ninachoona hapa ni CCM kupanda mbegu ya kuimaliza yenyewe. Tunafahamu na ni ukweli usiofichika kuwa vijana wengi walio jeshini kwa sasa hawana mapenzi na CCM. Baadhi ya Kambi zilionyesha wazi wakati wa uchaguzi wa 2010. Pingu zaweza kuwa mikononi lakini si rohoni!
 
Kesho Lema anaweza kwenda kumuwekea zamana kwani yeye ndio kamsababishia
 
Are you blind?
Kwani huoni picha, kama angekuwa mjeshi huyo jamaa na ana utumishi uliotukuka angepigwa locki mikononi?

Wewe sema kipenda roho hula nyama mbichi!
$#@&*..)!~%...!-mwenyewe!

m.m.m.w.b!
Kwenu ninyi Mi-CCM (in Tundu Lissu's tone) askari mwenye utumishi uliotukuka ni yule anayeua raia wasio na hatia!
 

Kama CHADEMA inafuga MAJAMBAZI... CCM inalea MAFISADI? kati ya Majambazi na MAFISADI ni yupi anayeidhuru NCHI?
Kama PESA wanazochota MAFISADI zingetumika kusaidia VIJANA kupata AJIRA; Nchi kuwa na Infrastructe Nzuri

Kungekuwa hakuna MAJAMBAZI... Sababu AJIRA zipo na NCHI inaendelea... lakini CCM yakumbatia VIBOPA FISADI
Sipati mtiririko wako mkuu kwahiyo CCM ikiwa na mafisadi, CDM kuwa na majambazi inakuwa ruksa?
 
Sipati mtiririko wako mkuu kwahiyo CCM ikiwa na mafisadi, CDM kuwa na majambazi inakuwa ruksa?

Ina MAANA UFISADI wa CCM ndio unaotuletea kuwepo kwa MAJAMBAZI; Wananchi kuandamana kutaka KAZI; Machafuko ya KIDINI ... yote hayo ni CCM na UFISADI wake...
 
Hivi Kinana ashakamatwa na kufikishwa mahakamani au bado anaimbiwa nyimbo za chama?
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Vumilia tu mwaJ, huyo masopakyindi ndiye mwana CCM aliyepikwa akapikika...halafu huyu utakuta ni mtu mzima, ana familia na wapo wanaomwita baba! mtu mzima ovyooo! Sasa fikiria kuwa ni mijitu type hii ndiyo imekamata nchi... inauza ndege yetu Tsh. 500,000, inapakia twiga wetu kuwapeleka Uarabuni halafu inakesha JF ikiwatetea wezi, mafisadi na wauaji!
Mkuu Mag3 nilikuwa nikifikiri uko kwenye kundi la wana CDM progressive, wale wenye kutumia vichwa vyao kutafuta soltions for Tanzanian problems, lakini, hii posti yako imekuexpose.
Una argue kama the rest of them, vijana waliovua nappy majuzi, arguing with emotions and not conviction kutokana na facts.
You have started to make me sick.

Siyo siri mimi ni mwana CCM, tena damu damu, lakini WEKA posti MOJA nilyosapoti UFISADI wa watu kama ROSTAM au EL au hata EPA.
Please dont argue like the rest of them, kids who are wet behind their ears, people who cant differentiate on matters of principle.

Yes, nina watoto, kama wewe huna,thats your problem, you need urgent medical attention.
Sasa mtu mwenye akili kama wewe kumsapoti mtu mweye uwezo wa kumchukua mke wako, ukamshangilia na kukenua kama huna akili nzuri, wa hovyo hapo nani?

Last but not least differentiate yourself from the sans culotes, ​the braying masses , ili uwe na any meaningful contribution to an agument.
 
CDM inafuga majambazi wanaovalia sare za JWTZ.
Hii inaeleza historia zisizoeleweka za kina Lema na Nassari kabla ya ubunge!Huyo kijana aminywe vitu nyeti abaeleze yote.

Hii picha ya kukamatwa huyu jambazi imekuwapo muda sasa na si Mnyika wala CDM wametoa tamko la tukio hili.

Mh!!! historia za Lema na Nassari kabla ya ubunge zilikuaje ndugu???
 
Usiwe na akili za kuazimwa Kijana huyo ana athari kubwa kama unavyofikiria, kuna watu tunaowaita mafisadi hivi serikali ingetumia juhudi na nguvu nyingi kama hizi kuwakamata wale mafisadi wa RICHMOND, EPA,waliohifadhi fedha Uswiss na mengineyo kama hayo tungefurahia na kuiamini serikali yetu, hivi hadi leo ile kesi ya mbunge wa BAHI imeishia wapi? hivi jiulize nagepiga picha na kiongozi wa CCM angetafutwa na kukamatwa?
Sasa kwa akili hiyo hiyo uliyonayo, majambazi wanaovaa sare za jeshi waachwe tu kwa vile kuna mafisdi?

Huyo kijana mbona mna metetea sana au ndo mpago wa jeshi la CDM?
 

Ina MAANA UFISADI wa CCM ndio unaotuletea kuwepo kwa MAJAMBAZI; Wananchi kuandamana kutaka KAZI; Machafuko ya KIDINI ... yote hayo ni CCM na UFISADI wake...
Kwa hiyo mantiki yako inasema jambazi likijitokeza na kupiga picha n waheshimiwa wa CDM its fair game?
 
huo ni upepo ambao hupita kwa kasi na kumyakua mtuhumiwa
 
CDM inafuga majambazi wanaovalia sare za JWTZ.
Hii inaeleza historia zisizoeleweka za kina Lema na Nassari kabla ya ubunge!Huyo kijana aminywe vitu nyeti abaeleze yote.

Hii picha ya kukamatwa huyu jambazi imekuwapo muda sasa na si Mnyika wala CDM wametoa tamko la tukio hili.

Kizazi cha matamko na Kauli!
 
We acha tu, wanatia hasira sana. Mtu anadiriki kabisa kusema CDM inafuga majambazi yaani hayaoni majambazi wauaji wakubwa ndani ya system yao? Mbona askari aliyemuua Mwangosi na wale wa mauaji mengine hatukuoneshwa kukamatwa kwao na kupigwa pingu? Yaani watu wazima na akili zao wamebaki na issue moja tu ku-deal na askari aliyepiga picha na Lema! Khaaa! Kwani hiyo picha imemuua nani?
Wewe ni mtu wa kipendacho roho kula nyama mbichi.

Inaelekea huna objective thinking capacity, unatetea hoja yako kwa makosa yaliyofanyika na kuendelea kuchukuliwa hatua.Fuatilia vizuri msimamo wangu juu ya sakata la Mwangosi humu jamvini na utaelimika vizuri.

Nyie ndo watu mnaojitia jazba na munkari kwa kvitu vingine ili kuhalalisha maovu ya wale muwapendao, na kwa hapa huyo "jambazi".

Kama unafikiri Lema au Nassari wana akili sana basi una matatizo, na baada ya haya kujitokeza hebu waulize maoni yao imekuwaje wanapiga picha na mtu asiyefahamika ajira yake hadharani.
 
Hivi yule aliyekamatwa NEC dodoma naye ilikuwaje vile?




hhh.jpg



Mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la wananchi wa
Tanzania (JWTZ),kambi ya Monduli,Arusha kwenye mkutano wa Chadema
Mji mdogo Mererani,Simanjiro mkoani Manyara hivi karibuni akiwa ndani ya gari ya jeshi baada ya kutiwa
nguvuni,

430928_109903545848532_1614025018_n.jpg




9709_209331452537196_801742473_n.jpg


Picha juu alipopiga picha na Viongozi mbalimbali wa Chadema

attachment.jpg


Mtu Aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la wananchi wa
Tanzania (JWTZ),kambi ya Monduli,Arusha akiwa na wabunge wa Chadema,
Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki) baada
ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na wabunge hao katika
Mji mdogo Mererani,Simanjiro mkoani Manyara hivi karibuni.

---



Na Mwandishi Maalum



Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli
ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.

Uchunguzi
wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama
alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na
akaacha. Amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi
wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.



 
Jamani Lema na Nasari chondechonde kamsaidieni Kamanda msimpotezee kwani mlipanga hayo yote
 
CCM... Na SHERIA; Ingekuwa ni Kwa CCM Mwanajeshi wa WATU asingepigwa PINGU

Mahaba yamekuzidi eee....usikurupuke huyo sio Mjeshi ni Mjeshi wa Lema Jeshi halimtambui ndio maana limemkamata aeleze yuko kambi gani
 
Back
Top Bottom