'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

Ritz naona unajichanganya tu hapa mkuu mara hakuwa mwanajeshi mara mwanajeshi sasa tunashindwa kukuelewa

Wewe ndiyo unajichanganya...wapi nimesema ni mwanajeshi.
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji analipeleka hili suala huko US CONGRESS.lazima aachiwe ama sivo tunawekewa vikwazo vya kiuchumi.

Hahahahaaaah. Anyway US ni zaidi unavyoijua, isipokuwa kama wana maslahi nalo kiuchumi au kisiasa hapo wanaweza kufanya lolote. Kwenye siasa mchezo ni uleule zinazobadilika ni jezi tuu
 
Ndomba ambaye ni Ofisa wa Jeshi, amekuwa DC na RC akiwa afisa wa Jeshi Luteni Kanali hakuna aliyesema kitu. Kisha katolewa kwenye ukuu wa mkoa na kurudi jeshini na kupanda cheo cha kijeshi na kuwa Luteni Jenerali
attachment.php



Akiwa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa, kwa mujibu wa katiba ya CCM alikuwa mjumbe wa kamati ya siasa wilaya/mkoa
attachment.php



Na majukumu yake yanatajwa hapa:
attachment.php


Tusiwe na double standards please!
 

Attachments

  • Ndomba.PNG
    Ndomba.PNG
    10.1 KB · Views: 498
  • Mkuu wa wilaya.PNG
    Mkuu wa wilaya.PNG
    16.7 KB · Views: 501
  • Ndomba1.PNG
    Ndomba1.PNG
    19 KB · Views: 489
  • Thanks
Reactions: 911
Kesi za kijinga jinga ndo zinaendaga haraka ila za kina Dk Ulimboka hata kwenda kumtambua mtuhumiwa bado

Idd Simba na Ridhiwani wamekutwa wameweka fedha za Mauzo ya UDA kwenye Account ya Idd Simba, Wamefungwa miaka mingapi? Nchi hii, ipo siku tu adabu itatamalaki.
 
Chenge kwa kua wale wadada alifungwa miaka mingapi?
Chenge kwa kuchikichia fedha za rader amehukumiwa miaka mingapi?
Mwigulu Nchemba kwa kumua Mbwambo kule Arusha, na Yule kada wa CDM kule igunga amefungwa miaka mingapi?
Wezi wakubwa wa EPA Manji, Jitu et el wamefungwa miaka mingapi?
Misadi waliotajwa na Dk Slaa (List of shame) wamefungwa miaka mingapi?
Waliomua baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere Wamefungwa miaka mingapi?
Waliomua Sokoine wamefungwa miaka mingapi?
Kwanini Ballali harudishwi kujibu mashtaka yanayomkabili?
Walioratibu na kumuua Salome Mbatia wafungwa?
Kamuhanda amehukumiwa miaka mingapi?
Waliowasababishia watanzania kansa thru TBS wamechukuliwa hatua gani?
Walio Mtesa Dr Ulimboka wamechuliwa hatua gani?
Ni nini na ipi kosa la gazeti Mwanahalisi mpaka lifungiwe?
Mabilioni ya Uswis yatarudi lini? Walioweka watahukumiwa lini?
Kuna mahusiano gani ya; Elimu Duni, Huduma duni za afya, Ufisadi kwenye nishati na madini, wizi bandarini, barabara duni, wizi na ukwepaji kodi kwenye mashirika na ya simu Vs madhara ya kupiga picha kwa umevaa sare za jeshi?
 
Nchi hii lazima iachane na chama hiki cha magamba CCM, nasema ivo kwa uchungu baada ya kusikia yule jamaa aliepiga picha na Lema huku akiwa Kava kombati za Jeshi eti kafungwa miaka mi nne , je ni haki?

Mbona yule Askari polisi alieenda kugombea Uongozi wa CCM Dodoma hajafungwa? kwani jamaa huyo police alitumaia jina feki la JOEL BENDERA ambae ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro! Mbona haja fungwa?Tunaomba Serikari hii imfunge pia ili iwe fundisho pia, Au ni kwa sababu alikuwa kwenye Kugombea CCM? AMA? Kweli inauma sana.Kwanza Askari huyo alikiuka miiko yabaada ya kujjta JOEL BENDERA.
Nikwamba jamaa huyo alikuwa Kihiyo!! Tunaomba ufafanuzi kwa jambo hili.
 
Kweli, sie tuna muda tumeachana na ccm, it begins with you, michango kwa chama inahitajika hata Nyerere alichangiwa, tutafika
 
Mwanakijiji analipeleka hili suala huko US CONGRESS.lazima aachiwe ama sivo tunawekewa vikwazo vya kiuchumi.

Watanzania kweli bado tuko mbali.Kwani huyu Mwanakijiji ni nani kwa US CONGRESS zaidi ya kwenye mitandao na magazeti ya Tanzania.

Haya bana, Mwanakijiji jamii inakutegemea na usiiache njiani.

Mkuu, acha kumchokoza Mwanakijiji ana shughulika na mambo mengi muhimu.
 
True this is double standard....kabisa...,Yule Askari Polisi alifanya Kosa kubwa kuliko Hilo la aliyevaa sare....kwa mazingira ya vijijini kuna vijana wengi ambao walikuwa na ndoto ya kuwa wana jeshi na hawakufanikiwa...wanavaa sare za Ndugu Zao wastaafu...elimu inahitajika.

Sasa Watu wataanza Kuhoji Askari wanaofanya siasa....Kama wenyeviti wa Kamati za siasa

Watu wataendelea Kuhoji kwanini viongozi wa CCM wanashirikishwa kwenye vikao Vya kupendekeza vijana wa kuajiriwa jeshi,Polisi ,usalama etc..kuanzia mitaani hadi wilayani....eti lengo kuhakikisha vijana wapinzani au wa wazazi wapinzani hawaingii kwenye vyombo Vya usalama...

Nadhani pamoja na ukweli wa Kosa la kijana ....tujiandae Watu kuanza Kuhoji haya....na haipendezi jeshi letu la ulinzi likaingizwa kwenye siasa Kama Polisi

Phillemon Mikael, kazi mbona ipo! Unafiki ndio staili ya kuendesha mambo. Na sio sheria na taratibu. Yangu macho!
 
Last edited by a moderator:
Idd Simba na Ridhiwani wamekutwa wameweka fedha za Mauzo ya UDA kwenye Account ya Idd Simba, Wamefungwa miaka mingapi? Nchi hii, ipo siku tu adabu itatamalaki.

Mkuu ni suala la muda tu hawa watu watatafuta sehemu ya kukimbilia kwasababu hatutakubali waendelee kutembea Uraiani kama watu wasio na deni la kulipa kwa Watanzania 2015 si mbali
 
Ndo maana tunataka kila mtu afanye jitihada yoyote pale alipo ili kuwang'oa hawa magamba,yaani hata kama ni kuiba kura ili mradi watoke madarakani. Serikali imezuia siasa vyuoni,mbona paul makonda kiongozi wa tahiriso alikuwa anagombea kwenye uvccm? Pathetic
 
sidhani huyo kamanda hatatoka jela! Watampeleka msitu wa pande kumaliza tu...kama kafungwa miaka minne basi atatoka mwaka 2015 mwezi wa nne na kwa kishindo ataingia CDM apewe jimbo agombee aingie mjengoni akawatetee wanyonge! Asipotoka mda huo basi watakuwa wamemu_ulimboka.
 
Ndomba ambaye ni Ofisa wa Jeshi, amekuwa DC na RC akiwa afisa wa Jeshi Luteni Kanali hakuna aliyesema kitu. Kisha katolewa kwenye ukuu wa mkoa na kurudi jeshini na kupanda cheo cha kijeshi na kuwa Luteni Jenerali
attachment.php



Akiwa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa, kwa mujibu wa katiba ya CCM alikuwa mjumbe wa kamati ya siasa wilaya/mkoa
attachment.php



Na majukumu yake yanatajwa hapa:
attachment.php


Tusiwe na double standards please!

......huyo dogo akipata mwanasheria mzuri atatoka....
 
Mkuu huyo siyo mwanajeshi ni muhuni tu wa Chadema ambaye alivalishwa na Lema sare za Jeshi nakupiga naye picha kulichafua jeshi letu kujiingiza kwenye siasa.
kwa hyokumbe hakutaiwa kushtakiwa na huko kufungwa kwa kupiga picha nalema kama mwanajeshi.
alitakiwa kushtakiwa kwa kuvaa sare za jeshi ilhai sio mwanajeshi.
NINYI NYOTE HAMNA AKILITU....!
 
Muuaji wa Mwangosi naye picha si zipo? Mbona mpaka leo uchunguzi unaendelea? Kumbe hawa watu wanao uwezo wa kuongoa msongamano wa mahabusu magerezani ila wameamua tu ila ni mpaka iguse chakula chao. Wananchi mtajiju! Cheze CCM nyie eti?

hii kesi mbona imewahi sana kutolewa hukumu, yaan kukamatwa wiki iliyopita na hukumu wiki hii.
Aisee hii haijawahi tokea Tanzania,ingekuwa hv na kwa Mafisadi mbona ingekuwa raha sana.
 
Back
Top Bottom