MwanajamiiOne.

Ah Mbu aksante kwa kunimiss but wajamenio si mnajua kuwa Bunge limeanza?? Mie mbunge wa nyumbani kwangu ati.............

Mkoloni kanikamata pabaya wajameni hata mie nimewamiss sana sana

Ben ndo nini uwashwe pale ukiona mwenzio kajikuna??
Teamo pole kwa kulea
RR .............unataka kufungua interchick ya German Sherpherd??
 
Mbu me too bana nimemiss sana huyu mtu mpaka nikajikuta namwambia baba mkwe msalimie MJ1 ,
 
Dada yangu mdogo wangu nipo ni majukumu yaani natumika katika nyanja zote so kidogo nafasi yangu imekuwa finyu but nimewamiss sana nyie watu ntajitahidi leo angalau nijizoeleshe humu kwa kuwa kesho ni holiday............ Hata hivyo shule nayo imekaba si unajua tena walalimu wa MMEMKWA kujiupgrade ni muhimu ati.............. hasa hizi lugha za kitarakishi tunazopaswa kuvitumia ah mara Tovuti sijui dovutwa, kipakatapaja ......ilimradi walimu wa kiswahili tunakoma.
 
Ah Mbu aksante kwa kunimiss but wajamenio si mnajua kuwa Bunge limeanza?? Mie mbunge wa nyumbani kwangu ati.............

Mkoloni kanikamata pabaya wajameni hata mie nimewamiss sana sana

Ben ndo nini uwashwe pale ukiona mwenzio kajikuna??
Teamo pole kwa kulea
RR .............unataka kufungua interchick ya German Sherpherd??

Haiyaaaaaa !! !!!
 
Mkuu Mbu,

Tuheshimiane,nitaanza bifu na wewe sasa....lol

Ndo tumemaliza honeymoon tu,unataka kuzingua

...ha ha ha, basi bana..."narudisha shilingi!"

Ah Mbu aksante kwa kunimiss but wajamenio si mnajua kuwa Bunge limeanza?? Mie mbunge wa nyumbani kwangu ati.............

Mkoloni kanikamata pabaya wajameni hata mie nimewamiss sana sana

Ben ndo nini uwashwe pale ukiona mwenzio kajikuna??
Teamo pole kwa kulea
RR .............unataka kufungua interchick ya German Sherpherd??

...ehhh? Pole mama, basi waambie nasisi huku tunakuhitaji bana!
Angalau umepata wasaa japo wa kutujibu. We were so worried hapa jamvini.

Next, ...Nyamayao, Carmen, Bht, Penny et al...
tunaendelea kuitisha Roll-Call kwa wote waliopotea, robo ya kwanza ya mwaka Ishaisha.
 
lonely-742719.jpg

...Deeply missed, pliz rudi nyumbani... :disapointed:​

Same here...........Nammiss pia aisee
 
...ha ha ha, basi bana..."narudisha shilingi!"

...ehhh? Pole mama, basi waambie nasisi huku tunakuhitaji bana!
Angalau umepata wasaa japo wa kutujibu. We were so worried hapa jamvini.

Next, ...Nyamayao, Carmen, Bht, Penny et al...
tunaendelea kuitisha Roll-Call kwa wote waliopotea, robo ya kwanza ya mwaka Ishaisha.

Hapo kwenye bold hapo..........Nahusika sana hapo mkuu...........heheeeeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom