Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 8,981
- 13,483
Anasema ameumizwa na hajitambui mbona anaweza kuandika huko mtandaoni?View attachment 3373931View attachment 3373932 Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
Matusi yana kipato?Nitalia kila siku Kwa kuwaombea hawa wadogo zetu wawe na hekima sasa mtu kama huyu na hizo yeboyebo anapata wapi ujasiri wa kutukana watu ikiwa milioni tu Hana
Anatukana kila mtu kama mwehu huko X. Alichopata kinamstahili ili ajifunze kukosoa au kipingana na watu kwa adabu.View attachment 3373931View attachment 3373932 Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
Mimi mwenzenu huwa napenda wakuu mngekuwa mnatuorodheshea hayo matusi Ili tuyaone hata Mimi sipendi matusi hata hivyo mahakama ndio inayohukumu sio vizuri kujichukulia sheria mkononiNitalia kila siku Kwa kuwaombea hawa wadogo zetu wawe na hekima sasa mtu kama huyu na hizo yeboyebo anapata wapi ujasiri wa kutukana watu ikiwa milioni tu Hana
Na ukiwa na bima Kuna baadhi ya dawa haupati wanasema ununue aiseeHospitali ya serikali, dawa zinanunuliwa kwa Kodi zetu, madaktari wanalipwa mishahara kwa Kodi zetu, lakini kutibiwa mpaka uwe na 2.3m.
Ni watanzania wangapi wanaoweza kumudu gharama hizi!
Wewe ni mtu usiyejulikana?kama alivyokuwa @Mdude_Nyagali.
Kwa hiyo?View attachment 3373931View attachment 3373932 Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
Anajinasibu kama mfanya biashara wa magari halafu hana Tsh 2 Million za kujitibia? Lakini hela ya kuweka bando ili kutukana watu anayo. Nilimchangia wakati akitoka jela ila nilimdharau alipokataa ushauri ambao watu walikuwa wanampa. Hebu soma hapo ;-View attachment 3373931View attachment 3373932 Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
sometimes ni kutumia akili kidogo.....View attachment 3373931View attachment 3373932 Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.