Hakuna kilichopo duniani kinachopendwa na kila mtu.......Hivyo sikushangai....... Hakuna jipya hapo.....ANYWAY UNGEWEKA HIZO HABARI UNAZOZIITA ZA KINAFIKI............ MwanaHalisi litabaki kuwa gazeti bora kwa wasema kweli wa TZ......... NYIE WENGINE BAKINI MKISOMA HAYO MAGAZETI YA ...... ndiyo mzee.........Gazeti hili liliokuwa linasifika sana kwa kutoa "sure" za mambo yanayoendelea kisiasa nchini limeshakuwa a town rag.
Wakuu msijisumbue kununua uozo wa gazeti hili ambalo tayari habari zake zimekwisha lipiwa kwa muda mrefu ujao.
Mwanahalisi na Dira kwa sasa ngoma droo.
Nasikitika kutoa shilingi mia tano yangu wiki hii na kukuta habari ambazo hazijulikani aliye andika na habari zenyewe ni za unafiki.
Kweli tindikali na fwedha vimefanya kazi yake.
Pengine ni kweli.Ndugu zangu msihangaike na huyu jamaa, anawapotezea muda wenu.
Achana naye huyu.
AMETUMWA.
Hii habari hivi imeandikwa na nani? Kubenea au?nmeona nakala ya leo, ila sijaona chochote cha kumfanya mtoa post atokwe na povu. labda ile habari ya kubenea na uongo wa sitta!
Asante wakuu!Yaani huyu jamaa kwa ukilaza alionao anaamua kukandamiza chombo cha habari kupitia mgongo wa great thinkers? Sishangai atakapotukanwa kuwa hayo ni mawazo kupitia masaburi.... Jana tuliambiwa kuwa leo gazeti litatoka na habari za kumchafua rais na familia yake tusilinunue, leo anang'ang'ania tusinunue utafikiri tunatumia hela zake. Tena hapo ndio sawa na umempiga teke chura kwani naenda kulinunua ili kuona kama unayoyasema ni kweli au la.
Atafute mchumba akaolewe nayekama uongo umemwishia afanye nini sasa?