Mwanahalisi kumtusi na kumkejeli Rais, je ni haki?

kwani nani kapinga kuwa sio Raisi?? tunazungumzia utendaji wake sio urais wake.......huwezi leo ukasema hiki kesho unajipinga au unaanzisha mada ambazo zimejaa migogoro ndani yake......mimi binafsi nitoe kati ya hao watakaokuja kusema hivyo unavyoona wewe.
endeleeni kumshambulia huyu ndugu lakini naaamin kama tutakuwa hai tutakuja kukugundua JAMAA ALIKUWA RAIS.........sasa hivi tumekuwa na ushabiki tu na uhalisia umewekwa pembeni...
MINGU IBARIKI TANZANIA
 
KIKWETE KIGEUGEU
Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?
Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani
Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku
we ulitaka atumie lugha gani? Kama ni matusi, basi Rais anajitukana
 
kusema kitu ndio kumshambulia mtu.....mbona tuna tafsiri za ajabu ajbu kiasi hiki??? naanza kuhsi hata uwezo wetu wa kufikiri pia una matatizo........nani kashambuliwa kwa lipi???ahh bhana usiniharibie siku bhana
 
kwani nani kapinga kuwa sio Raisi?? tunazungumzia utendaji wake sio urais wake.......huwezi leo ukasema hiki kesho unajipinga au unaanzisha mada ambazo zimejaa migogoro ndani yake......mimi binafsi nitoe kati ya hao watakaokuja kusema hivyo unavyoona wewe.

Tatizo unatumia nguvu nyingi kujibu hoja

Back to the topic

Je Mwnahalis ya kubenea umemtendea haki Rais kikwete?

Kanini wanaandika stori ya kutunga badala ya kwenda kumuuliza Rais wamefikia wapi kuhusu stori alizoandiak?
 
kusema kitu ndio kumshambulia mtu.....mbona tuna tafsiri za ajabu ajbu kiasi hiki??? naanza kuhsi hata uwezo wetu wa kufikiri pia una matatizo........nani kashambuliwa kwa lipi???ahh bhana usiniharibie siku bhana

Kwanini mwanahalisi hawajabalance stor? kwanini hawakuuliza wasadiz wake?
 
" KIKWETE KIGEUGEU"

Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani

Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku

Stupidity in action! Kikwete ni Kigeugeu hakuna neno sahihi wewe kigoli
 
Kigeugeu kwani uongo??????mbona mifano ni mingi sana,au wewe ni mtalii si mtz wala hufuatilii kwa makini siasa za nchi hii.Kesha ambiwa maneno mazito zaidi ya hilo la kigeugeu na mwanahalisi halikufungiwa,mfunde rais wako awe mkweli.
 
" KIKWETE KIGEUGEU"

Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani

Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku
Sio kamtusi kamwambia ukweli,kama wana CCM wanashindwa kumwambia ukweli basi kuna wengine watamwambia ukweli halafu ataupima yeye mwenyewe,ukigeugeu alionyesha Dodoma hakika umemushutumia kila mtu aliye na akili timamu,huo ukigeugeu sidhani kama utamsaidia zaidi anajichimbia kaburi yeye na chama chake,mwenyekiti anajua kabisa kuwa huko kwenye NEC jamaaa zake ndio ngome yao ,sasa anategemea NEC itawatupa nje hao jamaa sidhani kwani jamaa huko NEC ndio kwenye base yao na mwenyekiti analijua hilo sasa alichofanya ni kunawa mikono na atakuja kusema huo ni uamuzi wa NEC na uheshimiwe ,na hapo atakuwa amewaokoa jamaa zake.Jamani tuache porojo jamaa sidhani kama yuko serious,hata uncle Ben asingekubali huu undumila kuwili siajabu ndio maana hata kikao hakuhudhuria kwani alishajua kuwa huko ni kupoteza muda,hicho kikaoo ni kama kijiwe cha Saigon.nampa pole Mzee Malecela anapoteza nguvu zake bure kutaka jamaa waondolewa kwenye CCM ,jamaa wameshika mpini.
 
hivi ni lazima kila kitu aulize upande wa pili??? yaani kaona kabisa jamaa anajikanyaga......yeye kaandika alichokiona ni sahahii na mimi pia kama mdau naona pia ni sahahii. haya bhana tusibishane bhana mie ubishi siwezi ila ukweli ndio huo.
Kwanini mwanahalisi hawajabalance stor? kwanini hawakuuliza wasadiz wake?
 
Watu wengine bwana,nafikiri hujaelewa alichoandika Kubenea.Soma upya (read between lines).
 
" KIKWETE KIGEUGEU"

Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani

Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku
labda wewe ulitaka waandikeje?
 
kama hujaenda kufungua kesi tafakari kwa kina maana halisi ya neno kigeugeu, je ni tusi? what if kuna alama ya kuuliza mwishoni kama............ni kigeugeu? TAFAKARI........................
 
hakuna kitu kibaya kama kuhisi hisi vitu vya kijinga, kwa alieona na kuisoma kwa jicho yakinifu makala ile haijamtukana wala kumkejeli mtu, mbona yamesha semwa mengi zaidi ya hili...naomba mtu anayekumbuka ile aricle iliyoandikwa na gazeti la east african kuhusu marais na specific kuhusu JK atueleze ipi imemtukana JK kama kweli kuambiwa ukweli ni kutukanwa.
 
Tatizo unatumia nguvu nyingi kujibu hoja
Back to the topic
Je Mwnahalis ya kubenea umemtendea haki Rais kikwete?
Kanini wanaandika stori ya kutunga badala ya kwenda kumuuliza Rais wamefikia wapi kuhusu stori alizoandiak?
una uhakika gani kama hajamuuliza??
who r u by the way?
 
Neno 'kigeugeu' sio tusi, na litamuuma aliyeambiwa kama kweli ni kigeugeu. Kwa kiingereza ni 'no firm stand' au 'chameleon'. Hivi Rais sio binadamu? JK ni binadamu, hivyo tabia ya u-chameleon anayo sasa iweje liwe tusi wakati sio tusi? Ni tusi kwa JK lakini kwa mimi sio tusi? Toka lini Rais akawa kama mungu mdogo?

JK ni chemeleon kwa sababu yeye ndiye Rais wa serikali ya CCM iliyopandisha bei za mafuta na kuweka kodi kwenye mafuta ya taa na kudai bajeti ya 2011/2012 ni ya kumkomboa mtanzania anayepata chini ya $2 kwa siku (Mkulo - angalia hansard 2011); halafu huyu huyu ni mwenyekiti wa taifa wa CCM ambaye anakubali na kuiambia serikali ishushe bei za mafuta, je huyu si kinyonga?

Na hii ni janja ya kuwadanganya wananchi ili wapate jimbo la Igunga. Na sifa ya siasa uchwara ni ukigeugeu!!!
 
Tatizo unatumia nguvu nyingi kujibu hoja

Back to the topic

Je Mwnahalis ya kubenea umemtendea haki Rais kikwete?

Kanini wanaandika stori ya kutunga badala ya kwenda kumuuliza Rais wamefikia wapi kuhusu stori alizoandiak?
Rais gani wa kumuuliza maswali? huyu huyu Mkwerre anaeulizwa matatizo ya umeme yeye anajibu kwamba yeye sio wingu la kuleta mvua.!
 
sasa Mpwa naona bado uko usingizini bhana hebu aamka, yaani kweli tangu lini Raisi akaulizwa....yaani Mwanahalisi wamuulize eti Jk wewe ni kigeugeu?? mmh sijaelewa unachotaka kusema bhana. Je si kweli kuwa JK ndie aliepitisha pamoja na mawaziri wake bajeti ya kila wizara, je si Jk huyuhuyu tena leo anaesema kwa kupitia CC kuwa mafuta ya taa yashushwe bei? je hakupitia au hakuwa briefed juu ya yale yatakayotukia bungeni? je si kweli kuwa yeye kwa kupitia CC walisema watuhumiwa wa ufisadi waondoke? je sio huyuhuyu tena leo anaesema kuwa hio ajenda haina umuhimu sio muda muafaka kuijadili (source mwanahalisi)? sasa huo sio ukigeu geu kweli?? haya tufanye umeshinda wewe bhana ngoja niywe chai yang na kitimoto cha kukaanga bhana, si unajua bei imeshuka kutoaka na demand kuwa ndogo msimu huu

Back
Top Bottom