Mwanahalisi kumtusi na kumkejeli Rais, je ni haki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanahalisi kumtusi na kumkejeli Rais, je ni haki?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Aug 3, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  " KIKWETE KIGEUGEU"

  Mwandishi Saed Kubenea


  Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais ,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
  Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
  Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

  Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani


  Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kikwete hajaanza ukigeugeu leo, tena Kubenea amechelewa sana kumwambia. Sasa sijui kama atajirekebisha.
   
 3. next

  next JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Bado natamani Tanzania ipate rais
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  legelege
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hebu tupe hiyo habari in full mkuu!
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani walichoandika MWANAHALISI ni urongo?
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  unasema gazeti limeanza kuwa la udaku, sijui unaweza kuniambia ni gazeti gani la udaku linaloweza kutoa hbr kama hyo. Go go go Kubenea all the way ur unstopable.
   
 8. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wewe ndo huelewi Kiswahili. Tusi liko wapi hapo?

  KIGEUGEU ni mtu asiye na msimamo (Inconstant), mtu anayebadilikabadilika. Pia inaweza kutumika kumaanisha mwongo (deceitful). Kama unasema jambo fulani leo, na kesho ukalikana maana yake ni mwongo, kigeugeu.

  Sasa wewe tueleze matusi yako wapi? mtu akiambiwa ni mwongo au kigeugeu ni tusi.
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  hii sasa tumezidisha!!!!
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapa sijakuelewa!!!
  Msamiati mpya kwangu huu
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Me naona hakuna tatizo hao,sasa wewe ulitaka ampambe na maua?
   
 12. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Urongo=kitu kisicho kweli=uwongo
   
 13. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  sasa kama ndo ukweli wenyewe na haitakiwi nchi kuongozwa na Raisi kigeugeu ina maana nchi yetu haina Rais!! au Kiongozi mwenye sifa ya ukigeu geu apewe jina gani tofauti na Raisi!!??
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo sasa nimekuelewa..lol
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  wewe ni job ndugai au bibi kiroboto?
   
 16. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Heko Kubenea.
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wewe ndiyo una nia mbaya na Rais unataka aumbuke kwa kutaka kubenea ashtakiwe, kwasababu Mahakama itamtaka asibitishe si ndo itakuwa balaa atakapothibitisha ukigeugeu wa kikwete??. Hata mimi namtusi Rais kwamba Kikwete ni muongo mkubwa na nikishtakiwa kwa hili nitathibitisha pia
   
 18. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kuna wimbo wa mkenya mmoja unaitwa KIGEUGEU. Jamaa amemlaumu mpaka PAKA wake kuwa anamgeukia. Eti alimtuma ale PANYA, yeye si akaanza kula SAMAKI. Same applies to JK; tulimtuma alete maisha bora, yeye akaanza kuleta usharobaro ikulu.
   
 19. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimefuatilia thridi unazoanzisha hapa jf nimegundua kuwa unamatatizo.
  umesoma tu heading kwenye hilo gazeti bila kusoma kilicho andikwa na kuja kupost upupu hapa jf.
  Nakuna baadhi ya watu naona mnaendana humu jf kama rejao,naye anachangia upupu bila kusoma hilo gazeti,kwa maneno mengine anadandia treni kwa mbele.
  Mbaya sana hii kitu ya kupost upupu ili tu kuweza kudanganya umma na wana jf kwa ujumla(hasa wale ambao sio waelewa)
   
 20. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ndani ya EAC tuna misamiati mingi mipya ya kujifunza na kuizoea, hapo nilikuwa Kenya, siku nyingine nitaweka neno kutoka Uganda!
   
Loading...