Mwanahalisi kumtusi na kumkejeli Rais, je ni haki?

we ndo unajiita jeykey au ndo wewe kigeugeu original! WE NEED GREAT THINKERS IN THIS FORUM SI VINGINEVYO, KUBENEA IS GREAT ANDO MAANA HATA HABARI ZAKE ZINA MASHIKO NA NDO MAANA ANAONGOZA KUUZA! HIVI KWANZA WE JEYKEY UNAWEZA KUDEFINE MATUSI? AU SERIKALI YENU MKIAMBIWA UKWELI NDO MNAITA MATUSI?????????????

Popompo ni popompo tu,ukweli upo wazi kama kitu cheupe kitaitwa cheupe na si cheusi wala bluu,wewe ulitaka mwandishi aseme vipi? freedom of expression imetumika vizuri hapo

wanamagamba mwaka huu mtaipata mbona tena mmekuja jamvini humu wakati mtamu kweli wakati mikashfa mizitomizito inabuka sijui mtatokea wapi mbona utaomba ardhi ipasuke? sasa wewe unayejiita jeykey na wewe ni gamba siyo? yahani na wewe uko tayari kusupoti uongo ama ndi zamu yenu kwakuwa ni mwenzenu basi haijalishi

" KIKWETE KIGEUGEU"

Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais ,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani

Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku

kwani ukiambiwa kigeugeu ni tusi?.......after all si ndio ukweli wenyewe!!!!!!

Huyu jamaa kaamua kujikomba kwa Kikwete! Kwanza uelewa wake mdogo sana ,Naunga mkono hoja!!

" KIKWETE KIGEUGEU"

Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais ,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais

Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu

Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani

Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku

najua IQ yako ni sawa mtoto wa darasa 2.
Kuna watu wanalipwa kwa kazi za kumtetea Rais, nakuzungumza upuuzi kama wako.
Damn huna cha kufanya. Mwambie Kikwete mkwereeh , matendo yake yamemfikisha hapo.

" KIKWETE KIGEUGEU"

Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais ,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais

Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu

Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani

Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku

Mkuu kwani wewe hujaona ukweli ndani yake kuna ukweli maana huwa maamuzi anayotoa hayapo moja kwa moja na wala hayatoi kwa wakati

Back
Top Bottom