Mwanahalisi kumtusi na kumkejeli Rais, je ni haki?

JK ni kigeugeu na tena yeye si mawingu hawezi kutatua tatizo la umeme, hajui kwanini Tz ni maskini na ............
 
Nimefuatilia thridi unazoanzisha hapa jf nimegundua kuwa unamatatizo.
umesoma tu heading kwenye hilo gazeti bila kusoma kilicho andikwa na kuja kupost upupu hapa jf.
Nakuna baadhi ya watu naona mnaendana humu jf kama rejao,naye anachangia upupu bila kusoma hilo gazeti,kwa maneno mengine anadandia treni kwa mbele.
Mbaya sana hii kitu ya kupost upupu ili tu kuweza kudanganya umma na wana jf kwa ujumla(hasa wale ambao sio waelewa)

Mkuu nimesoma kilichoandikwa

Kwanini kubenea anatumia heading ya kigeugeu ambayo haiendani na aliyoandika ndani

Kwanin kubenea anatumia heading ya kumtusi?
 
Kama unataka kutuambia kusema ukweli ndiyo maana ya matusi, basi kweli ametukanwa. Lakini kama kusema ukweli inamaanisha kuzungumza jambo la kweli linalojitokeza, basi sioni hoja yako kuwa na mantiki. Ukigeugeu wa Rais JK unaonekana kwenye sura nyingi za uongozi wake...hata suala la kupunguza na kuongeza bei ya mafuta ya taa ni ukigeugeu...mwanzoni ni baraza la mawaziri lililoridhia kupandishwa bei kwa mafuta ya taa...nani mwenyekiti wa baraza la mawaziri? JK! Kamati kuu inakaa na kusema bei ya mafuta ishushwe, mh.JK anasema sawa! Siyo ukigeugeu ni nini huo?
Juzi alisema barabara ya lami itapitishwa Serengeti watu wakapiga makofi, leo anaenda bondeni anasema yeye ni mwanamazingira nambari moja kwa hiyo hataweza kuruhusu barabara ipitie Serengeti..huo siyo ukigeugeu?

We regret having a multifaced President who will never be trusted by whatever he promises. He is a chameleon type and a liar!
 
sheria inasemaje kumtukana Rais wa nchi?
 
Urais hauna hadhi tena Tanzania, anybody can be a President, hata Leodgar Tenga nae ni Rais, Madee yeye Rais ni wa Manzese na Mkwerre yeye ni Rais wa angani.
Tunasubili 2015 ndio tutapata Rais wa nchi.
 
inawezekana sijui formula ya tusi au maana ya tusi maana gazeti ninalo hapa ila sijaona tusi hata moja iwe la nguoni au la sirini.......sijui ulikuwa unammanisha nini? gazeti nanilo na nimelisoma ilasijaona tusi jamani tuache kuptosha mambo.....na uchochezi wa kishemeji na wakwe wa bungeni
 
Urais hauna hadhi tena Tanzania, anybody can be a President, hata Leodgar Tenga nae ni Rais, Madee yeye Rais ni wa Manzese na Mkwerre yeye ni Rais wa angani.
Tunasubili 2015 ndio tutapata Rais wa nchi.

Serikali itakuja na sheria ya Social network maana watu mnatumia uhuru wa kujieleza lakini mnatumia vibaya
 
Unaelewa maana ya tusi? Mtu kama ana akili timamu ukimwambia yeye ni kichaa umemtusi au kumkejeli. Lakini mtu kama ni kigeugeu ukimwambia wewe ni kigeugeu maana yake umemsifia. Mwanahalisi wamemsifia JK kuwa ni kigeugeu. Rejea notice za kiswahili darasa la tano na la sita kwa sisi tuliosoma miaka ya 80, kuna mambo ya vivumishi na ukigeugeu wa JK ni kivumishi cha sifa.
 
Urais hauna hadhi tena Tanzania, anybody can be a President, hata Leodgar Tenga nae ni Rais, Madee yeye Rais ni wa Manzese na Mkwerre yeye ni Rais wa angani.
Tunasubili 2015 ndio tutapata Rais wa nchi.
Pia kuna dogo mmoja anajiita Rais wa masharobaro, na mwingine Rais wa wasafi...
 
tuache ushabiki wa kijinga bhana, unapojipendekeza unataka upate nini? yaani kuandika kwamba JK hana msimamo ndio tusi au ndio yale ya waswahili kuwa Ukweli Daima Unauma? ukisoma ile article anahoji iweje mtu ambaye ndie aliyepitisha bajeti ya serikali kama mwenyekiti kwenye baraza la mawaziri(serikali) leo hii akiwa kwenye chama (mwenyekiti CC) aseme tena kuwa mafuta ya taa yako juu na kwamba yanaumiza wananchi....na kwanini kauli hii ije saa hizi wakati hao masehemeji na wakwe huko bungeni wameshapitisha? ndio kilichoulizwa ha Mwaha halisi lakini pia ikihoji jinsi ajenda ya kujivua gamba ilivyoyeyuka huku akizuia mjadala kuhusu uvuaji gamba....that's all. Tusi liko wapi hapo???
 
Serikali itakuja na sheria ya Social network maana watu mnatumia uhuru wa kujieleza lakini mnatumia vibaya
Wewe ni kenge ambae unaishi ulimwengu wa zama za mawe, ni nani mwenye uwezo wa kuzuia internet? makenge kama nyinyi mlipaswa kupewa uti wa mgongo tu ungaliwatosha maana hakukuwa na sababu ya mungu kukupa ubongo maana hauna kazi nao. mtu asiekuwa na akili hakupaswa kupewa ubongo.
 
sheria inasemaje kuhus kumkejrli na kumtusi Rais??
 
Wailete tu! hatutakaa kimya, wameshindwa Iran na China itaweza serikali hii? Isiyojua nani raia nan sio????
 
Wewe ni kenge ambae unaishi ulimwengu wa zama za mawe, ni nani mwenye uwezo wa kuzuia internet? makenge kama nyinyi mlipaswa kupewa uti wa mgongo tu ungaliwatosha maana hakukuwa na sababu ya mungu kukupa ubongo maana hauna kazi nao. mtu asiekuwa na akili hakupaswa kupewa ubongo.

siku zote ukweli unauma sasa naona muda umefika wa serikali kutunga Social Network Regulation Act 2011
Hii itasadia sana watu kama nyie
 
kabla yakufika kwenye sheria lazima tuwe na kosa, sasa koas hapa ni tusi/kejeli. Je ni kweli kuna kejeli au tusi lolote? nadhani mi ni mfa maji tu huyu haishi kutapatapa.....sorry isjekuwa na mimi nimemkejeli japo ndio ukweli............
sheria inasemaje kuhus kumkejrli na kumtusi Rais??
 
siku zote ukweli unauma sasa naona muda umefika wa serikali kutunga Social Network Regulation Act 2011
Hii itasadia sana watu kama nyie
wewe msubili tu utakapoona anapelekwa The Hugue baada ya kumaliza kipindi chake ndio utajuwa hii sio dunia ya majuha na misukule kama wewe. Refer kwa Hosni Mubarak, leo ana murder case za kujibu.

View attachment 34803
 
endeleeni kumshambulia huyu ndugu lakini naaamin kama tutakuwa hai tutakuja kukugundua JAMAA ALIKUWA RAIS.........sasa hivi tumekuwa na ushabiki tu na uhalisia umewekwa pembeni...
MINGU IBARIKI TANZANIA
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom