LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
WanaJF,
Kuna kipindi tunawalalamikia Mwanahalisi kwa kuchelewa kuweka matoleo mapya ya magazeti yao mtandao.
Lakini naona bado wanaendelea tu kwani toleo la 14 Sep, 2011 ndo lipo mtandao mpaka leo tarehe 30 Sep, 2011
Gazeti la MwanaHalisi
Gazeti la MwanaHalisi halikai sana sokoni kwani mpaka ijumaa ya wiki liliyotolewa huwa tayari yamekwaisha nunuliwa.
Sasa kwa nini wahusika wa MwanaHalisi hawaliweki gazeti lao hata J'tatu ya kila wiki? Au wanafanya makusudi?
Nawakilisha WanaJF, wengine wako mbali wanategemea taarifa za mtandaoni.