MwanaHalisi kuchelewa sana 'ku-update' Mtandaoni, Makusudi au ?


LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
1,640
Likes
9
Points
0
LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2011
1,640 9 0
WanaJF,
Kuna kipindi tunawalalamikia Mwanahalisi kwa kuchelewa kuweka matoleo mapya ya magazeti yao mtandao.
Lakini naona bado wanaendelea tu kwani toleo la 14 Sep, 2011 ndo lipo mtandao mpaka leo tarehe 30 Sep, 2011

Gazeti la MwanaHalisi

Gazeti la MwanaHalisi halikai sana sokoni kwani mpaka ijumaa ya wiki liliyotolewa huwa tayari yamekwaisha nunuliwa.
Sasa kwa nini wahusika wa MwanaHalisi hawaliweki gazeti lao hata J'tatu ya kila wiki? Au wanafanya makusudi?

Nawakilisha WanaJF, wengine wako mbali wanategemea taarifa za mtandaoni.
 
SILENT ACtOR

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
629
Likes
65
Points
45
SILENT ACtOR

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
629 65 45
Kwa kuzingatia kuwa gazeti hili husomwa na watu wengi na nakala zake huisha mapema, ni dhahiri kuna matatizo ya uwajibikaji au kutojali wasomaji. Wao wanachojua ni kuuza nakala tu, bila kutambua hata mtandaoni kungewaimarisha zaidi na zaidi.
 

Forum statistics

Threads 1,236,314
Members 475,050
Posts 29,253,944