Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Ndio mawazo yk sikulaumu,nadhani ktk mapenzi bora kutazama tabia zaidi kuliko muonekano maana hujafa hujaumbika.
naona unazidi kujipa kiki sio eti eeh kwamba unajua maana ya mapenz..wadada mueleweni huyu jamaa jamani!! anahangaika sana..cool down bro umeeleweka
 
Reactions: B40
 
Mkuu hama hicho kituo cha kazi.. Umetumia busara ya hali ya juu kutowaadhibu hao watoto. Ila nna uhakika una hasira nao.. Wakija kukuzingua tena utaua.

Ama hapo. I see murder ahead.
 
naona unazidi kujipa kiki sio eti eeh kwamba unajua maana ya mapenz..wadada mueleweni huyu jamaa jamani!! anahangaika sana..cool down bro umeeleweka
Nakuhakikishia kama ni wanawake sina haja nao,ninaye mmoja niliempenda.
Niliacha chuoni uplayboy,wadada niliotembea nao wewe utakufa unawasikia TBC.
 
Nakuhakikishia kama ni wanawake sina haja nao,ninaye mmoja niliempenda.
Niliacha chuoni uplayboy,wadada niliotembea nao wewe utakufa unawasikia TBC.
sawa sasa unajitetea kwenye upepo..no wonder hao wanafunzi wamesema ungepaswa kuwa msichana!!!
 
OK ngoja niwork hard
 
Tafuta huyo dada yake ulambe
 
Pole sana! maana faraja na ushauri ulioutegemea humu umeukosa!

Tupa kule... songa mbele ushi ulivyo.
 
Reactions: B40
Kacheki endocrine system labda unaover scretion ya oestrogens.kama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…