R.I.P mwanafunzi UDSM
Wanajamii forum nimesoma comment zenu mbalimbali za wenye busara na wale ambao pia hawana maadili yaani mtu anamkejeli marehemu? just imagine ni mtoto wako, dada au mdogo wako ungekuwaje muda wa kufiwa na mtoto uliyemsomesha lakini hata ndoto yake haijatimia, sidhani miongoni mwenu mnaokejeli kuna mtu kafiwa na mtu, jitathmini iwapo familia yake wanasoma hiyo reply hapa ya kejeli itakuwaje.
poleni sana ndugu wa marehemu sisi sote ni wapita njia.
Jumapili njema.