Mods hii habari sio sahihi,inasikitisha mtu anasikia taarifa tu juu juu bila kuangalia uzito wa taarifa anakimbilia kupost,hata jina la marehemu halijui!Hata kama unaziita tetesi,jiweke kwenye viatu vya wazazi wa binti huyo aliyepoteza maisha then unakuta habari kuwa ni kwa sababu ya ulevi,kitu ambacho sio sahihi!!
Ni kweli mwanachuo kapoteza maisha lakini taarifa zilizopo ni kuwa alikuwa na matatizo ya moyo!
Unapokimbilia kupost taarifa za kifo wakati huna uhakika na hizo taarifa ni upuuzi na wa JF tunaojiita GT,ni aibu!Mods uondoeni huu uzi,
cc
Invisible