Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
3,284
Reaction score
4,656
Ni katika Hall one UDSM Mlimani leo asubuhi. Mwanafunzi huyo aliyetambulika kwa jina la Sakabenga amefariki akiwa amepumzika chumbani kwake na sababu za kifo hicho hazijajulikana

In short rest in peace mwanafunzi.

udsm5.PNG
 
Mbona wanakufa kufa sana aaggrrrh juzi tena SUA aliondoka mmoja wasomi wetu wa baadae wanapuputika tu RIP msomi
 
kilevi gani hicho kilichomtoa uhai usiniambie bange!
 
embu ongezea jinsia gani? na kamilika basi acha kutuacha hewani
 
Mbona wanakufa kufa sana aaggrrrh juzi tena SUA aliondoka mmoja wasomi wetu wa baadae wanapuputika tu RIP msomi

Hicho chuo kishaharibika siwez kumruhusu mwanangu akasomee hapo! maadili ni zero
 
Umekurupuka sana ulitaka uwe wa kwanza kutoa habari? RIP mwanachuo
 
Awp kukurupuka unakufahamu, nimeleta taarifa kama nilivyokuta polisi wakifanya kazi yao. Taarifa zaidi watoa toa wahusika. Nimetoa nilichopata au hujitambui maana ya forum sio magazeti. Xyzs zako.
 
Boom limetoka hivi karibuni bado fedha za moto. Ni fedheha sana kwa msomi tunayemtegemea kupatwa na tukio la hivi.Any way pumzika salama
 
Awp kukurupuka unakufahamu, nimeleta taarifa kama nilivyokuta polisi wakifanya kazi yao. Taarifa zaidi watoa toa wahusika. Nimetoa nilichopata au hujitambui maana ya forum sio magazeti. Xyzs zako.

cc awp
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom