Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

Mwanafunzi wa kike UDSM MLIMANI akutwa amekufa

Hicho chuo kishaharibika siwez kumruhusu mwanangu akasomee hapo! maadili ni zero
Hata ungetaka asome hapo hana uwezo wa akili ya kupata nafasi ya kusoma chuo kikuu cha daresalaam kwa hiyo endelea hivyohivyo itakusaidia kisaikolojia. Jipange sana
 
Hata ungetaka asome hapo hana uwezo wa akili ya kupata nafasi ya kusoma chuo kikuu cha daresalaam kwa hiyo endelea hivyohivyo itakusaidia kisaikolojia. Jipange sana

We ni mwehu akili gani we unayomaanisha hapa nawe pia una akili ipi ambayo wengine hawana weka cv zako hapa kuanzia sec na si tukuwekee ndo utajiona mwehu!
 
mtoa post jaribu Siku nyingine kuandika vitu vyenye uhakika.....

hakuwa anatumia pombe...



she was my friend very close friend


am disappointed na Watu humu calling your selves GT but mnakimbilia kuhukumu


je nyie mnajua mtakufa Vp....??????


R.I.P Sakay.......
 
Hall one siku hizi wanaishi wasichana?
 
mtoa post jaribu Siku nyingine kuandika vitu vyenye uhakika.....

hakuwa anatumia pombe...

bali alikua Ana zimia kila baada ya Muda fulani na Leo Ndo ikawa mazima...

she had heart failure



she was my friend very close friend


am disappointed na Watu humu calling your selves GT but mnakimbilia kuhukumu


je nyie mnajua mtakufa Vp....??????


R.I.P Sakay.......
Poleni sana wafiwa
 
Ni katika Hall one udsm mlimani leo asubuhi. Habari toka wanafunzi wenzie ni kuwa alitumia kilevi kupita kiasi. In short rest in peace mwanafunzi.

mtoa mada umekurupuka hukupaswa kuweka sababu ya kifo ambayo haijathibitishwa.marehemu amekutwa na povu mdomoni na amekakamaa basi wala hakukuwa na dalili ya pombe subirini madaktari watoe uthibitisho
 
mtoa post jaribu Siku nyingine kuandika vitu vyenye uhakika.....

hakuwa anatumia pombe...

bali alikua Ana zimia kila baada ya Muda fulani na Leo Ndo ikawa mazima...

she had heart failure



she was my friend very close friend


am disappointed na Watu humu calling your selves GT but mnakimbilia kuhukumu


je nyie mnajua mtakufa Vp....??????


R.I.P Sakay.......

poleni sana may she rest in peace ,too young to go jmn
 
Back
Top Bottom