Dundula naamini hujui maana ya chuo kikuu ndiyo maana huwezi kumpeleka hapo UDSM ama la mwanao hana vigezo, alafu huna taarifa kuhusu kifo cha huyo mwanafunzi. Mleta mada fisi2 nadhani we ungesema tu mwanafunzi kafariki chumani UDSM maana mie nimesikia habari za kifo kwa waliompeleka muhimbili nikutana nao nikiwa hapo nikisubiri vipimo fulani. Walichosema ni kuwa mwanafunzi alihudhuria vipindi vya asubuhi hadi saa tano na alikua nakipindi saa saba, kilichotokea hakuaonekana mpaka wenzoie walipomkuta katika umauti na inategemewa mwili ufanyie uchunguzi kesho.
Nadhani ni vyema kufuatilia jambo in positive way au neutral badala ya kuliangalia kwa upande kwa kushoto zaidi.Tutaona humu watu wakishabikia ulevi, ngono, kukosa pesa nk badala ya kufikiria kuhusu dengue, presha, mshtuko wa moyo nk. RIP dear student