Mwanafunzi KCMC MD4 apotelea baharini Pangani

Mwanafunzi KCMC MD4 apotelea baharini Pangani

BAD NEWS

We're sorrowful to inform the KCMUCo and KCMC community that our fellow MD4 student, James Kepha drowned into the sea water off the Pangani sea shore yesterday while he was swimming with his fellows.

The efforts to rescue him were imposed but bred nothing. We couldn't manage to see him since yesterday evening at around 1800 hours. It was reported immediately to the Police station and other appropriate authorities for more help but the status remained the same.

However, he's found today morning around 0900 hours already dead.

It's very hard to receive this information but we are humbly requesting you to receive the information as it is.

May the Lord's name be praised forever.

Majaliwa John
 
UMEONGEA VEMA. BARIKIWA SANA
Ushauri wangu kwa watu wote wanaenda kama kundi/group kwenye beach,wawe makini sana kama hujui kuogelea sio dhambi kaa pembeni angalia wenzako,usipende sifa za kijinga kujitupa kwenye maji huku hujui kuogelea kwa kupenda sifa mbele ya mademu au marafiki.
Wote tutakufa,lakini tusikibipu kifo.
Najiuliza msimu huu ni wa mvua nyingi sana kwa maeneo yote ya mkoa wa Tanga hususani Pangani,pili ilikuwaje aogelee eneo la Sea side hostel ambalo lipo jirani na makutano ya bahari na mto Pangani??
Kasi ya maji eneo hilo ni kubwa sana,pia kuna mawimbi makali halikadhalika maji ni machafu sana kwa wakati huu wa mvua,hasa yale yanayotoka mto Pangani.
Inatia simanzi sana kwa familia!
Mungu asaidie apatikane akiwa hai!!
 
Umenikumbusha kuna mwaka kuna mwanafunzi wa muhimbili alizama coco beach.Familia ikafanya ibada ya mazishi pale ufukweni.Kisha wakarudi nyumbani.Kwa jinsi tulivyo na uhaba wa matatibu ni hasara kubwa hiyo.
 
Back
Top Bottom