Mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa 2015

Mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa 2015

View attachment 324171
Huyu ndiye mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne 2015, Butogwa Charles Shija. Binti huyu amefanikiwa kuwagaragaza watoto wa kiume kibao hapa nchini.
wasukuma katika ubora wetu, ni zamu yetu.

Tupia neno moja tu la pongezi kwake.
Wewe mnyarwanda naona uko updated na matokeo ya kidato cha nne nchini kwetu, vipi kwenu yametoka?
 
Yuko EA Radio hivi sasa
Anasema yeye alikuwa anasoma kila siku kama kesho mtihani
 
Asahau kuwa to tena
advance ile ni next level
 
hongera sana sana binti nasikitishwa na mijitu inayo huku mu kz ya uumbaji hivi huyu binti akisema hizo comment zenu atajisikiaje.... Wivu tu ndo una wa sumbua naamini aliyetoa hiyo comment hana watoto.
 
Huyu Binti anaubaya gani jamani
 
Attachments

  • 1455898358972.jpg
    1455898358972.jpg
    38.1 KB · Views: 51
Hongera Butogwa. Keep that brain... Keep that natural beauty... Keep that smile.
People can kill themselves to get that beatiful skin.
 
Wewe mnyarwanda naona uko updated na matokeo ya kidato cha nne nchini kwetu, vipi kwenu yametoka?
toka wanyarwanda wale hiyo 0713 yako naona bado hawajakutoka akilini, na sasa unaanza kushoboka na NGOSHA kaa chonjo mie ntabastisha kabisa.
 
toka wanyarwanda wale hiyo 0713 yako naona bado hawajakutoka akilini, na sasa unaanza kushoboka na NGOSHA kaa chonjo mie ntabastisha kabisa.
Kumbe ndio mchezo wako huo unaopenda kufanyiwa, pole sana, acha ushoga basi.
 
Kumbe ndio mchezo wako huo unaopenda kufanyiwa, pole sana, acha ushoga basi.
ucha ushamba ww konda, shoga ni wewe unayeinama, mimi ninayesimama nyuma yako huku niki-kwichi kwichi kwichi ni basha. umesikia konda shoga.
 
Hongera sana Binti Mungu aendelee kukubariki,unayaweza mambo yote katika yeye akupaye nguvu...Wafilipi 4:13 Songa mbele mpendwa.
 
Back
Top Bottom