Mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa 2015

Mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa 2015

She is so cute!!!!!!! Hongera mama uwe dakatari kama unachukua sayansi au injinia. Usiende kwenye madini watakurubuni uvae tanzanite usahau usukuma. Mama Bwana akutangulie sababu huko mbele ndo vikwazo vinaanza mara mikopo, mara migomo, mara wakwe wakusumbue sababu you are natural and perfect in all aspects. Usifanye kosa kuingia kwenye siasa. Wasikurubuni wanasiasa wa aina zote. Focus, kuwa tayari kupambana nao wakisema hupati mkopo sababu umekataa siasa njoo JF tupo wengi tusiofungamana na upande wowote tutakuchangia.
 
ana akili sana, kama umewahi kuwa Mwalimu kuna wasichana huwa makini sana ktk kila analofanya na huwa hawakubali kushindwa kirahisi ni pamoja na huyu.
 
View attachment 324171
Huyu ndiye mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne 2015, Butogwa Charles Shija. Binti huyu amefanikiwa kuwagaragaza watoto wa kiume kibao hapa nchini.
wasukuma katika ubora wetu, ni zamu yetu.

Tupia neno moja tu la pongezi kwake.
Ulimhphola!!!!!
 
Black is beautiful huyu binti ni mzuri sana namfahamu amesomea CANNOSA kwa masister. Nyie ndo mnatufanya tujichubue.
Hataaa ni akili yako tu
Hakuna jinsi yeye akaze ili A level iwe hivo pia
 
mmhh sasa huu si ukabila huu !!
sasa hapo kuna uhusiano gani kati ya kufaulu kwake na usukuma?
Mtoa Mada
Kanda ya ziwa imeingiza shule nne katika top ten, mwanza pekee imeingiza shule 3 katika top 10. Vp wajisikiaje na hali!
 
Sasa hayo maneno wanayopost hawa wajinga unaona ni mazuri kweli
Kupasuka tu kioo cha dirisha la nyumba ndo ubomoe nyumba nzima! Kwa nini usiwaeleweshe tu hao wajinga warekebisha hizo comment zao! Au ubaeleze mods
 
Hongera sana binti. MUNGU akuongoze uendelee kutusua epuka vidume uchwara vitavuruga move yako.
 
Back
Top Bottom