Kwa asiyeelewa muziki wa course ya Statistics sitamshangaa kwakuwa hajui asemalo. Kwa lugha nyepesi alikuwa anasoma kozi iliyotawaliwa na mahesabu magumu ambayo ukianza kosolve unafuta ubao ule Kama wa shule ya msingi Mara tatu. Hongera kwake na aitumie elimu' yake kikamilifu