sikuhizi hazipo hizi zinatolewa na baiskeli na kuruka mifereji
sikuhizi hazipo hizi zinatolewa na baiskeli na kuruka mifereji
Baiskeli haitoi bwana huo ni uongo, kwanini isitoke wakati mtoto anapobebwa mgongoni na mama yake? Tena anakuwa anarushwrushwa mgongoni akiwekwa sawa! Ukichukulia ya mtoto mchanga ndiyo laini! Ukiambiwa hivyo jua umeibiwa wewe. Unafikiri MUNGU NI MJINGA ? Au mnafikiri bikra huwa inakaa hapa nje kama plasta? Tunajua hayo ni maneno ya mkosaji tu. Bikra hutolewa kwa njia hiyo ya kujamiiana tu, au itokee ajali isiyo ya kawaida.
....Duh! Si mchezo kuwa zote ni used co?Sidhani kama humu utapata hata mmoja break zilishafyatuka siku nyingi.
duu kweli hii ni balaa lakini sasa naweza kuamini kwamba 21 may 2011 ndio mwisho wa dunia au ndio unakaribia dunia imechafuka kama kaniki hii ni balaa tuombe mungu yaishe mapema sasa hayo ni baadhi ya mambo yalilipotiwa vipi yale yasiyolipotiwa?
mbona hajatoa full specification za bikira yenyewe kama ni ya Tigo au Voda.
huu ni ushetani mtupu!!, ameishauza ya beach pesa zikiisha atatangaza ya mbugani!!
umepewa bure, toa bure,unauzaje kitu ambacho si chako? tena ulichopewa bila malipo yoyote ukitunze kama dhamana tu? ni nani awezaye ku-claim kuwa kiungo fulani au sehemu fulani ya mwili wake ni mali yake? miili hii tumeazimwa tu. mwenye mali akitaka wakati wowote anaweza kuichukua tena hata bile taarifa.
ooh, Mungu tuhurumie!
.....swali ni je kwa umri huu hapa bongo na hasa kati ya wadada walioenda shule ni wangapi bado wanabikira zao? Niliwahi kusikia karibu 45% ya wadada hapa nchini walioajiliwa wametoa ngono iliwapate ajira huyu katoa bikira yake iliasome, hivi kunatofauti hapo!!
ni kweli si wengi.
lakini suala la kuwa ni wachache au hata kama hakuna kabisa, haliwezi kuhalalisha bishara hiyo.
umepewa bure toa bure kwa hiyari yako kwa umpendaye na ambaye kapata kibali kutoka kwa Mungu