Mwanafunzi Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 100

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Mwanafunzi mmoja wa kike wa nchini Ubelgiji mwenye umri wa miaka 21 ameinadi bikira yake na kufanikiwa kupata mteja aliyeinunua kwa takribani Tsh. Milioni 100.
Mwanafunzi huyo aliyejulikana kwa jina moja la Noelle aliunadi mwili wake kwenye mnada wa tovuti ya Yantra ya mjini Amsterdam, Uholanzi ambayo inadili na kuwatafutia wanaume wanawake.

Noelle ambaye ni mwanafunzi anayeishi nchini Ubelgiji, aliamua kuinadi bikira yake nchini Uholanzi huku akificha sura yake ili wazazi wake na marafiki zake wasimgundue.

Baada ya miezi miwili ya mnada huo hatimaye mnada huo umeisha kwa Noelle kufanikiwa kuiuza bikira yake kwa euro 50,000 ambao ni zaidi ya Tsh. Miloni 105.

Noelle atatumia masaa 24 na mwanaume aliyeshinda mnada huo ambaye hajataka kujitambulisha.

Mwanaume huyo mbali ya kupata nafasi ya kuivunja bikira ya kimwana huyo atatakiwa kama sharti la mnada huo ampeleke Noelle kwenye mgahawa wowote ambao Noelle atauchagua.

Noelle anasema kuwa mshindi wa mnada huo atapewa cheti cha daktari kinachothibitisha kuwa Noelle ni bikira. Noelle alisisitiza kuwa tendo la ngono lazima lifanyike kwa kutumia kondomu.

Noelle alidai kuwa aliamua kuinadi bikira yake ili aweze kupata pesa za kujikimu kwenye masomo yake.

Noelle alijinadi kwenye mnada huo kwa kusema kuwa yeye ni mrembo mwenye macho ya hudhurungi, urefu wa mita 1.73, kiuno cha saizi 10 na matiti ya saizi B.

"Mimi ni msichana wa kawaida na wazazi wangu hawatafurahia wakisikia ninainadi bikira yangu", alisema Noelle.

Bei ya kuanzia kuweka dau katika mnada huo ilikuwa ni euro 5,000 (Tsh. Milioni 11).

Katika kuwadhirihishia watu kuwa yeye si kahaba, Noelle alidai kuwa atatoa asilimia tano ya pesa atakazozipata kwa mashirika ya hisani.
 
DU, Duniani kuna Mambo, but namsifu sana huyo binti, maana Bikira imempa bingo kuliko ingevunjwa kwa Chips kuku.

Haya sasa wadada wa JF kazi kwenu, mwenye nayo mi niko tayari kununua.
 
Mungu atusaidie jamani! Dalili za mwisho wa dunia, vituko vya kila namna!! Wana JF tumrudie MUNGU WETU.
 
Imenikumbusha mbali, niliwai kupewa nikaigopa nilidhani nimetegwa!
 
Bongo zinauzwa pia, siyo za kichina ila zile origino. Mnaozitaka tuwasiliane.
 
bora uliogopa ila ilikua above 18 au under 18!!maana ukivunja ya under 18 ni balaa na ikiwezekana kunyongwa kabisa!
Imenikumbusha mbali, niliwai kupewa nikaigopa nilidhani nimetegwa!
 
Duh! mambo hayo! Zipo chache hizi ndio maana dau lake limekuwa kubwa hivyo!
 
mbona hajatoa full specification za bikira yenyewe kama ni ya Tigo au Voda.
 
huu ni ushetani mtupu!!, ameishauza ya beach pesa zikiisha atatangaza ya mbugani!!

umepewa bure, toa bure,unauzaje kitu ambacho si chako? tena ulichopewa bila malipo yoyote ukitunze kama dhamana tu? ni nani awezaye ku-claim kuwa kiungo fulani au sehemu fulani ya mwili wake ni mali yake? miili hii tumeazimwa tu. mwenye mali akitaka wakati wowote anaweza kuichukua tena hata bile taarifa.

ooh, Mungu tuhurumie!
 
Bongo ukianzisha hiyo ki2 utapata za kichina 2, maana hymens are congenitaly missing, tehe!,
 
DU, Duniani kuna Mambo, but namsifu sana huyo binti, maana Bikira imempa bingo kuliko ingevunjwa kwa Chips kuku.

Haya sasa wadada wa JF kazi kwenu, mwenye nayo mi niko tayari kununua.
Sidhani kama humu utapata hata mmoja break zilishafyatuka siku nyingi.
 
Back
Top Bottom