Mwanafunzi Auza Bikira Yake Kwa Tsh. Milioni 100

sikuhizi hazipo hizi zinatolewa na baiskeli na kuruka mifereji

Baiskeli haitoi bwana huo ni uongo, kwanini isitoke wakati mtoto anapobebwa mgongoni na mama yake? Tena anakuwa anarushwrushwa mgongoni akiwekwa sawa! Ukichukulia ya mtoto mchanga ndiyo laini! Ukiambiwa hivyo jua umeibiwa wewe. Unafikiri MUNGU NI MJINGA ? Au mnafikiri bikra huwa inakaa hapa nje kama plasta? Tunajua hayo ni maneno ya mkosaji tu. Bikra hutolewa kwa njia hiyo ya kujamiiana tu, au itokee ajali isiyo ya kawaida.
 
waambie mkuu, mi nilimsaidia mpanda baiskeli mmoja maarufu na tena alikuwa akikimbia na riadha shuleni pamoja na kuruka (high jump) na alikuwa na kitu tight kabisa brand new, hayo ya baiskeli ni ya vicheche tu, kasome kule kwenye uzi wa miss J uone wanavyoweweseka
 
duu kweli hii ni balaa lakini sasa naweza kuamini kwamba 21 may 2011 ndio mwisho wa dunia au ndio unakaribia dunia imechafuka kama kaniki hii ni balaa tuombe mungu yaishe mapema sasa hayo ni baadhi ya mambo yalilipotiwa vipi yale yasiyolipotiwa?
 
dunia imekua ngumu sana man sijui tunakwenda wapi!
duu kweli hii ni balaa lakini sasa naweza kuamini kwamba 21 may 2011 ndio mwisho wa dunia au ndio unakaribia dunia imechafuka kama kaniki hii ni balaa tuombe mungu yaishe mapema sasa hayo ni baadhi ya mambo yalilipotiwa vipi yale yasiyolipotiwa?
 
Kumbe hili jukwaa nalo lina haya mambo, lol, dunia inarudi kinyumenyume, jamaa aliyenunua sijui kama aliuliza kama mwenye hiyo bikra kafundishwa mambo ya kikubwa vinginevyo itakuwa ni yy pekee anayejishughulisha:bange:
 
Hivi kweli BONGO bado zipo za above 18??? Nadhani kama zipo ni endengered GOODIES!!!! Kuipata inabidi utafute saaana
 
mbona hajatoa full specification za bikira yenyewe kama ni ya Tigo au Voda.

...Just be patient tu ndugu yangu. Hata huo mnada wa bikra ya Tigo utakuja tu. We are that unto Sodoma and Gomorrah!!
 
huu ni ushetani mtupu!!, ameishauza ya beach pesa zikiisha atatangaza ya mbugani!!

umepewa bure, toa bure,unauzaje kitu ambacho si chako? tena ulichopewa bila malipo yoyote ukitunze kama dhamana tu? ni nani awezaye ku-claim kuwa kiungo fulani au sehemu fulani ya mwili wake ni mali yake? miili hii tumeazimwa tu. mwenye mali akitaka wakati wowote anaweza kuichukua tena hata bile taarifa.

ooh, Mungu tuhurumie!

.....swali ni je kwa umri huu hapa bongo na hasa kati ya wadada walioenda shule ni wangapi bado wanabikira zao? Niliwahi kusikia karibu 45% ya wadada hapa nchini walioajiliwa wametoa ngono iliwapate ajira huyu katoa bikira yake iliasome, hivi kunatofauti hapo!!
 
ni kweli si wengi.

lakini suala la kuwa ni wachache au hata kama hakuna kabisa, haliwezi kuhalalisha bishara hiyo.

umepewa bure toa bure kwa hiyari yako kwa umpendaye na ambaye kapata kibali kutoka kwa Mungu
 
Acha utani, hapa Bongo kitu kama hiyo ni adimu sana; labda kama ni uchakachuaji.
 
ni kweli si wengi.

lakini suala la kuwa ni wachache au hata kama hakuna kabisa, haliwezi kuhalalisha bishara hiyo.

umepewa bure toa bure kwa hiyari yako kwa umpendaye na ambaye kapata kibali kutoka kwa Mungu

Kupewa bure na kutoa bure hilo siyo kweli! Hamtoagi bure hiyo kitu, labda wewe na kama ni kweli basi kuna wanaume wenye bahati kupata mtu kama wewe! Hilo la kibali rekebisha kidogo
Siyo kibali toka kwa Mungu, ni kutoka kwao maana kibali toka kwa Mungu ni ndoa kwanza ndipo kujamiiana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom