aise hili suala ni gumu.wapunguze kuweka vigezo vigumu,inawezekana huyu mtu alitegemea kufaulu vizuri lakini yakawa tofauti.mwanafunzi wa masters chuo kikuu mzumbe main campus amejinyonga mpaka kufa.habari za mapema zinasema kuwa mwanafunzi huyo ambaye alikuwa anasoma uchumi amejinyonga baada ya matokeo kuonesha kuwa amedisco (matokeo yaliachiwa jana) taarifa zaidi nitaendelea kufuatilia ila kwa sasa shughuli za mazishi zinaendelea nyumbani kwao njombe.pole kwa familia ya marehemu na wanajumuia wote wa mzumbe.
Mkuu hata kapicha
Mkuu naye marehemu si Wa huko hukotafadhali asithubutu kutuuwekea hako kafoto, kanaweza kutoa fundisho kwa wanyalu ambao hawajui jinsi ya kuifunga kamba shingoni ikawa balaa.
Haya mkuu utaki tuone marehemuNafikiri hata hapa yameanza kuenea kwenye vyuo vyetu japo Sio sana tuombe Mungu atuepushe mzenjiboy.#kapicha siwezi weka mkuu.