Mwanafunzi afia kambini JKT Tabora

Mwanafunzi afia kambini JKT Tabora

Ground Zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
342
Reaction score
95
Mwanafunzi wa kidato cha sita kutoka shule ya sekondari Loyola Halima Kitangila amefariki dunia huko Msange Tabora JKT kwa madai ya kuugua maleria.

My take
Kuna haja ya serikali kuangali utaratibu wa mafunzo hasa kwa watoto wa kike ambao hawaendi JKT kujitolea. RIP Halima.

Source: Tanzania Daima
 
Shiittt!! Asije kuwa alibakwa, wazazi/ndugu waombe uchunguzi. R.I.P
Pia wanajeshi huwa hawana muda mtu akiugua mi nadhani huyo marehemu alionesha dalili na wao wakadharau.
 
Shiittt!! Asije kuwa alibakwa, wazazi/ndugu waombe uchunguzi. R.I.P
Pia wanajeshi huwa hawana muda mtu akiugua mi nadhani huyo marehemu alionesha dalili na wao wakadharau.
Wazazi wafanye uchunguzi wao kujua chanzo.
 
kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa uwa wanakufa sana huko kwenye mafunzo sasa naanza kuamini hamini maneno yake.
 
Serikali dhaifu, jeshi zembe. Malaria inatibika kirahisi tu, how come the failed as a government? Stupid kabisa
 
Ni kweli miezi kama mitatu nyuma, tuliomboleza kifo cha kijana mwingine aliyefia huko huko Tabora, sababu ilikuwa hiyo hiyo ya malaria....tunaomba ufafanuzi zaidi wa wahusika
kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa uwa wanakufa sana huko kwenye mafunzo sasa naanza kuamini hamini maneno yake.
 
Na inawezekana alireport anaumwa wakaona hataki kufanya mazoezi na makazi yao.....UTII WA SHERIA BILA SHURUTI....Usije ukawa ulitumika hapo
 
mambo za kulazimishana jeshi karne hii azifai.
kuna tetesi uko magonjwa mengi watoto awalali vizuri
ukiumwa wanajua unazarau na unapata mateso zaidi.

wazaz mliopeleka watoto uko mshtuke. msije kupoteza watoto wenu.
 
Ni kweli miezi kama mitatu nyuma, tuliomboleza kifo cha kijana mwingine aliyefia huko huko Tabora, sababu ilikuwa hiyo hiyo ya malaria....tunaomba ufafanuzi zaidi wa wahusika
Kwa kweli maelezo yatolewe. Uzalendo wa miezi mitatu isiwe sababu ya kutoa vijana kafara!
 
Inauma sana jamani,wazazi walikuwa wanajianda mtoto kwenda chuo, kwakweli mimi binafsi kwa karne hii sioni mantik ya hili jeshi lakulazimishana hivi nowonder wazazi wengi walishtuka wamegomea watoto kwende maana hata awamu yakwanza nasikia kuna waliokufa.....poleni sana wazazi nandugu wa marehemu.
 
Vyandarua vya Bush havijafika JKT? Slogan ya Tanzania bila Malaria inawezekana imefanyiwa kazi kwa kiasi gani na JKT? Au ni kuna askari bado wana amini kuwa, kuruta akifa kwenye rigwaride atapanda cheo!

Hii lazima serikali iliangalie upya vinginevyo wafunge makambi mpaka watakapofanya maandalizi ya usalama wa vijana wetu. RIP Kuruta!
 
Ole! hawa walipata div one na two... sijui awamu ya tatu ya wenye three na four za mwanzo mwanzo. nahisi hawa watachukuliwa sawa na mbwa. bahati yangu mtoto wa masikini mie, ni kama mbu sifu kwa marelia, mimi nzi sifi kwa kipindupindu, maisha yangu full ugumu nabeba chuma siogopi kwata, wajameni mimi sisimizi mdudu chungu sifi kwa kipigo labda unifinye.... R.I.P
 
Vyandarua vya Bush havijafika JKT? Slogan ya Tanzania bila Malaria inawezekana imefanyiwa kazi kwa kiasi gani na JKT? Au ni kuna askari bado wana amini kuwa, kuruta akifa kwenye rigwaride atapanda cheo!

Hii lazima serikali iliangalie upya vinginevyo wafunge makambi mpaka watakapofanya maandalizi ya usalama wa vijana wetu. RIP Kuruta!
Umenena!
 
kuna wengine watano tulisikia walifariki juzi juzi tu hapa...mmmh!!!
 
So sad,najua uchungu wa huko japo sijawahi na sitakwenda ng'o,my girlfrend(awamu ya kwanza) alikuwa analalamika mda wote,ukiumwa hakuna anaejali na ukifa ndio furaha yao mana wanapandishwa vyeo,I was so worried kila alipougua anapewa panado na siku moja ya kupumzika bila kujali amepona siku ya pili lazima aende mzigoni hata kama amemeza vidonge vikali na drip za ma quinini.
SO SAD HATA KAMBI YAO KIGOMA ALIFARIKI MVULANA MMOJA KWA MALARIA NI WA MOSHI,chanzo ni uzembe alikuwa mgonjwa alipoenda hospitali akapewa panado na usiku akazidiwa na walipomrudisha hospitali akawa ameaga dunia,TAARIFA ZA KIFO ZILIKA MAPEMA NYUMBANI MANA WENZAKE WALIPIGA SIMU,cha kushangaza kifo kile kiliwafurahisha watoa mafunzo,nilipouliza iweje mtu afe wengine washerekee nikaambiwa WATAPANDISHWA VYEO WOTE,whatr a foolish?AFU WALIPOENDA KUZIKA WAKAONGOPA MDA ALIOKUFA KWENYE RISALA MANA HAWAKUJUA KAMA FAMILIA ILIELEZWA KILA KITU.
 
Back
Top Bottom