Ivonya-Ngia
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 703
- 385
Mwanafunzi wa kidato cha sita kutoka shule ya sekondari Loyola Halima Kitangila amefariki dunia huko Msange Tabora JKT kwa madai ya kuugua maleria.
My take
Kuna haja ya serikali kuangali utaratibu wa mafunzo hasa kwa watoto wa kike ambao hawaendi JKT kujitolea. RIP Halima.
Source: Tanzania Daima
Kule boarding schools kuna vifo vya wanafunzi kutokana na maradhi mbalimbali. Wapo pia wanafunzi wa day schools ambao hufia mikononi mwa wazazi/walezi wao kutokana na maradhi sasa utatwambiaje wanafunzi wakifa katika makambi ya JKT basi utaratibu uangaliwe upya(ufutwe?)????
Lete basi hapa na takwimu za wanafunzi wanaofia mashuleni na majumbani kwa mwaka tupate ulinganifu kama hutasema huko nako utaratibu uangaliwe upya.