Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,154
Inaumiza sana mzazi anamuaga mtoto wake aliyepata division one akiwa mzima halafu anarudishiwa maiti. Very sad!
Poleni sana.
Inaumiza sana mzazi anamuaga mtoto wake aliyepata division one akiwa mzima halafu anarudishiwa maiti. Very sad!
Sio lazma tuwe na akili na maono sawa,we kama una penda mpeleke mwanao jkt na ukitaka ajir kamanda amfundishe mwanao ukakamu chumbani kwake.Nyie ndii mnaokunywa juice za maboksi, serikali iongeze muda iwe mwaka mmoja. Kijana wangu hata wakifuta kwa mujibu wa sheria ni lazima aende
So sad,najua uchungu wa huko japo sijawahi na sitakwenda ng'o,my girlfrend(awamu ya kwanza) alikuwa analalamika mda wote,ukiumwa hakuna anaejali na ukifa ndio furaha yao mana wanapandishwa vyeo,I was so worried kila alipougua anapewa panado na siku moja ya kupumzika bila kujali amepona siku ya pili lazima aende mzigoni hata kama amemeza vidonge vikali na drip za ma quinini.
SO SAD HATA KAMBI YAO KIGOMA ALIFARIKI MVULANA MMOJA KWA MALARIA NI WA MOSHI,chanzo ni uzembe alikuwa mgonjwa alipoenda hospitali akapewa panado na usiku akazidiwa na walipomrudisha hospitali akawa ameaga dunia,TAARIFA ZA KIFO ZILIKA MAPEMA NYUMBANI MANA WENZAKE WALIPIGA SIMU,cha kushangaza kifo kile kiliwafurahisha watoa mafunzo,nilipouliza iweje mtu afe wengine washerekee nikaambiwa WATAPANDISHWA VYEO WOTE,whatr a foolish?AFU WALIPOENDA KUZIKA WAKAONGOPA MDA ALIOKUFA KWENYE RISALA MANA HAWAKUJUA KAMA FAMILIA ILIELEZWA KILA KITU.
Poleni wazazi wa Halima.JKT humuandaa kijana wa kukabiliana na majukumu
Kufa ni lazima kwa binadamu yeyote.Binti wakati wake umefika.Vijana tuache woga JKT ni mahali pazuri na panapofaa kwa vijana.
Unatakiwa uelewe si kila kifo kimepangwa na MUNGU vingine hupangwa na wanadamu huu siyo utaratibu hata mzazi kasomesha kwa shida akiwa na matumaini ya kusaidiwa uzeeni halafu akafie jkt serikali angalia upya huu utaratibu
Kufa ni lazima kwa binadamu yeyote.Binti wakati wake umefika.Vijana tuache woga JKT ni mahali pazuri na panapofaa kwa vijana.
mh inauma sn jmn.mdogo angu kakataa katakata coz kuna mwenzie alifariki huko alilia sn sn wakati yuko form five. alipomaliza akapangwa kigoma kiukwel amegoma kabisaa