ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,237
- 1,919
kwann uhisi wengine ndo wanatatizo ..kwnn usihis we ndo unatatizoYaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu