Mwanafunzi adukua mtandao wa Serikali na kujiajiri, Afrika Kusini

Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
kwann uhisi wengine ndo wanatatizo ..kwnn usihis we ndo unatatizo
 
Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
Niseme serikali zetu za kiafrica haziajiri watu wenye skills. Wanaajiri watu wenye vyeti. Na gpa kubwa..
Watu wenye skills ndio hawa.. kasoma na practicaly yuko fiti..
Hapa ame expose mfumo wao wa ajira. Watu kama haw ndio wa kuchukua. Sio wasom wanaoishia kukarir halaf field 0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
Ni wa kupongeza maana usipopigwa huwezi kuwa mjanja mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
Huelewi principle za hacking, we nenda kajaze mikutano ya mwenyekiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
Nampongeza huyu kijana aliyefanya huu wizi wa kiteknolojia.

Huyu ni jasusi, ni tunu ya Taifa, atumiwe kwa maslahi ya Taifa.
 
Sio kila kitu usikie. Kuna washkaji wawili walikuwa wakitokea Mbeya kwenda dar walipofika moro wakashuka kwa kuwa hawakuwa na hela wakasogea jirani na bank. Waka hack bank waka jirundikia fedha katk account wakakomba fedha wakatambaa
 
Mwanamme mmoja nchini Afrika Kusini anasakwa na polisi kwa madai ya kudukua data za serikali katika Sekta ya Afya kisha kujiajiri mwenyewe na kwamba amekuwa akipokea mshahara kuanzia mwezi Juni mwaka wa 2018.
Bright Chabota ambaye alisomea kozi ya uhandisi wa tarakilishi, Computer Engineering ni wa asili ya Zambia ila mamaye ni wa asili ya Zulu nchini Afrika Kusini. Inaarifiwa hakuwahi kwenda kazini ila amekuwa akipokea mshahara kila mwisho wa mwezi.
Kulingana na serikali, Chabota aligunduliwa baada ya kubainika kwamba hajakuwa akilipa kodi, vilevile ada za bima ya matibabu nchini humo.

Wazazi wake tayari wamehojiwa na wanasema kwamba mwanawe aliwaarifu kwamba alikuwa amepata kazi na kwamba alikuwa akilipwa Randi elfu saba kila mwisho wa mwezi kuanzia Juni mwaka wa 2018.
Kumbuka kwamba randi elfu saba za Afrika Kusini ni sawa na shilingi 1,161,408.21 za TANZANIA

SOURCE: UKOMBOZ BLOG

#NATAMANI INGETOKEA TZ ALAFU AAJIRI WAHITIMU MAELFU Maana si kwa ukosefu huu wa ajira#

Noma sana uyu jamaaa
 
Back
Top Bottom