Mwanafunzi adukua mtandao wa Serikali na kujiajiri, Afrika Kusini


C

Coaster2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Messages
852
Points
1,000
C

Coaster2015

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2018
852 1,000
Hawakustahiri hata kusema kwamba wanamtafuta, watu wa namna hii ni tunu wanatakiwa kutunzwa ili waweze kusaidia maendeleo ya nchi, sio hapa kwetu unamki uri halafu anaangukia katika mikono ya ccm, anakubali kuondolewa akili yake yote
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,654
Points
2,000
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,654 2,000
Dah...mwizi mzoefu ndiyo mlinzi mzuri

Sent using Beretta ARX 160
 
samwel mdodo

samwel mdodo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
756
Points
1,000
samwel mdodo

samwel mdodo

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
756 1,000
Kadukua eeh SAFI..wamuajiri sasa maana kawaonyesha ni kiasi gani ma I.T wao ni mashengegele...WAKIMFUNGA watapoteza kichwa kizuri sana Watu wa namna hiyo waajiriwe TU.

mi mwenyewe saivi nikija kufanya interview kwenye kampuni yako ukinitosa Nadukua kampuni alafu natulia nione kama hutontafuta.
 
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
4,602
Points
2,000
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
4,602 2,000
Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
Huyo ni Mjasiriamali. Amejiajiri.
 
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
6,927
Points
2,000
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
6,927 2,000
NO ni mwizi anachukua mshahara bila kufanya kazi
Acha mambo yako, watu kama wewe unafaa ufungwe jiwe kilo mia shingoni, utupwe baharini. Wewe kudukua na kujiajiri sio kazi hiyo, huyo ni mchapa kazi kweli kweli. Sio wahuni mnaoshinda ofisini kutwa kuchart na kutazama www.xvideo.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,618
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,618 2,000
Hakuna haja ya kufunga jiwe Mi mwenyewe nanga ila ukweli utabaki pale pale ni mwizi tu Na kwa taarifa yako mwizi hawezi kufanya Kazi ya halali cos kasomea wizi
Hivi Kama kweli ni genius angeapply kwa kuonyesha vyeti yake wangemnyima? No way huyu ni mwizi tu
 

Forum statistics

Threads 1,285,033
Members 494,367
Posts 30,847,817
Top