Grace N.M.Pandor, Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Asema Anatishiwa na Majasusi wa Israel

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Sakata la Izrael kushitakiwa na Afrika Kusini kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Binadamu limechukua sura Mpya baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Madam G.N.M Pandor kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba amepokea Kauli za vitisho kutoka Kwa maofisa wa usalama wa Israel.

Israel Imetoa taarifa ya kulaani Kauli hiyo ya Waziri huyo na kukana madai yake huku ikimshutumu vikali kwamba anafifisha Haki ya Israel ya kulinda usalama wake.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1755917002940498363?t=faRxyF1wI1bT-lHtLtBYRg&s=19

My Take
Izrael ni nani Hadi waweze kutupangia washirika?

Naunga mkono Afrika Kusini.

View: https://twitter.com/GUnderground_TV/status/1755896371440165274?t=7dlT-O-HLljzNX6sYug7xg&s=19
 
wna
Sakata la Izrael kushitakiwa na Afrika Kusini kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Binadamu limechukua sura Mpya baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Madam G.N.M Pandor kutangaza kwenye vyombo vya habari kwamba amepokea Kauli za vitisho kutoka Kwa maofisa wa usalama wa Israel.

Israel Imetoa taarifa ya kulaani Kauli hiyo ya Waziri huyo na kukana madai yake huku ikimshutumu vikali kwamba anafifisha Haki ya Israel ya kulinda usalama wake.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1755917002940498363?t=faRxyF1wI1bT-lHtLtBYRg&s=19

My Take
Izrael ni nani Hadi waweze kutupangia washirika?

Naunga mkono Afrika Kusini

wanafundishwa na Hamas nin cha kusema , kesho hamas watamuua kisha kusingiza Israel
 
Sidhani kama Mossad wangekuwa na shida naye kwa weledi wao wangeweza kushindwa , ajikabidhi kwa Mungu tu na kuchukua tahadhali zote za kiusalama, ila majaji walikuwa wengi kwanini atafutwe yeye tu na siyo wengine?
 
Kibongo bongo tungesema anatafuta kick,huyo Mzayuni anashindwa kumsikiliza hata kaka yake USA anapoambiwa asimamishe mashambulizi aje kutishika na muafrika mmoja aliyewahi kufanywa mtumwa kiasi atake kumuuwa?
Americant na israhell hawajataka kusitisha vita
Unaamini kabisa kwamba Americant kataka vita isitishwe na akakataliwa kama una hio imani unakosea sana tena sanaaa
Americant akitaka vita isitishwe hata dakika moja haimalizi
 
Sidhani kama Mossad wangekuwa na shida naye kwa weledi wao wangeweza kushindwa , ajikabidhi kwa Mungu tu na kuchukua tahadhali zote za kiusalama, ila majaji walikuwa wengi kwanini atafutwe yeye tu na siyo wengine?
Weledi gani walokua nao mossad
Mossad wana Weledi wa kwenye tv tu ila field weupe sanaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom