Mwanafunzi adukua mtandao wa Serikali na kujiajiri, Afrika Kusini


LENGISHO

LENGISHO

Member
Joined
Sep 15, 2017
Messages
82
Points
125
LENGISHO

LENGISHO

Member
Joined Sep 15, 2017
82 125
Mwanamme mmoja nchini Afrika Kusini anasakwa na polisi kwa madai ya kudukua data za Serikali katika Sekta ya Afya kisha kujiajiri mwenyewe na kwamba amekuwa akipokea mshahara kuanzia mwezi Juni mwaka wa 2018.

Bright Chabota ambaye alisomea kozi ya uhandisi wa tarakilishi, Computer Engineering ni wa asili ya Zambia ila mamaye ni wa asili ya Zulu nchini Afrika Kusini.

Inaarifiwa hakuwahi kwenda kazini ila amekuwa akipokea mshahara kila mwisho wa mwezi.

Kulingana na Serikali, Chabota aligunduliwa baada ya kubainika kwamba hajakuwa akilipa kodi, vilevile ada za bima ya matibabu nchini humo.

Wazazi wake tayari wamehojiwa na wanasema kwamba mwanawe aliwaarifu kwamba alikuwa amepata kazi na kwamba alikuwa akilipwa Randi elfu saba kila mwisho wa mwezi kuanzia Juni mwaka wa 2018.

Kumbuka kwamba randi elfu saba za Afrika Kusini ni sawa na shilingi 1,161,408.21 za TANZANIA


SOURCE: UKOMBOZ BLOG

#NATAMANI INGETOKEA TZ ALAFU AAJIRI WAHITIMU MAELFU Maana si kwa ukosefu huu wa ajira#

 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
1,156
Points
2,000
Age
49
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
1,156 2,000
Sijawahi kusikia hawa wakwetu wamehack chochote,nahisi hawana extra curriculum au ni wazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia vizuri mkuu kuna dogo alihack data base ya bank flani miaka ya nyuma afu akajisalimisha wakampa ajira
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,691
Points
2,000
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,691 2,000
atimkie zambia akajaribu na huko
 

Forum statistics

Threads 1,285,036
Members 494,423
Posts 30,847,904
Top