chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,695
- 4,947
Nilisikia (sina hakika) kwamba yupo dogo miaka ya hapa karibuni Informatics -Udom ali hack bank moja ya hapa INA lebo kijani akapiga mpunga ila walimpa kazi awasaidieSijawahi kusikia hawa wakwetu wamehack chochote,nahisi hawana extra curriculum au ni wazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo wapo tu wajanja. Kuna chuo flan ivi wanajifanya wana data base za maana, but kuna wahuni walizama wakabadili matokeo wakajipa Mabanda sema badae kikazanuka.
Hata kuhanck flash disk ni shida itakuwa kujiajiri aacha utani mkuu.Sijawahi kusikia hawa wakwetu wamehack chochote,nahisi hawana extra curriculum au ni wazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wapo,juz kat wamehack account yangu ya facebookSijawahi kusikia hawa wakwetu wamehack chochote,nahisi hawana extra curriculum au ni wazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aajiriwe na serikali yao.. IT officer.Safi kabisa... Sasa apewe ajira rasmi ili alipe hilo deni pamoja na kuhakikisha anabuni njia bora ya kudhibiti watu wengine hawafanyi kama yeye
open university of Tanzania haoBongo wapo tu wajanja. Kuna chuo flan ivi wanajifanya wana data base za maana, but kuna wahuni walizama wakabadili matokeo wakajipa Mabanda sema badae kikazanuka.
Lichuo likubwa kabisa mbona hiloopen university of Tanzania hao
Si ajabu wameshafanya hili maana kumbuka hata wao huko SA walistuka baada ya jamaa kuwa keshanyonya sana. Sasa nahapa inaonesha dalili ni hiyo maana makusanyo ni mengi ila mshiko hauonekani usikute kuna wadau wanajilipa kiinternet subiri mpaka tustukeSijawahi kusikia hawa wakwetu wamehack chochote,nahisi hawana extra curriculum au ni wazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wizi wa kutumia akili ni ELIMU.Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu