Mwanafunzi adukua mtandao wa Serikali na kujiajiri, Afrika Kusini

Angeajiri vijana wengi na bongo pia kwa mfumo wake huo
Kama wale waliofungua ubalozi wa USA na wakapiga hela ndefu
Mimi mtu akitumia akili yake hivi huwa naona wanatumia akili yao vizuri waliyobahatika nayo
Sio PhD wetu hata kuwaza wana shindwa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
bongo wapo sna tu sema tu watu hatuna interest ,maana watu tuna woga uliopitliza.. kuna
jamaa ali hack system ya matokeo udom Sr kutoka college ya informatics ,akawa anawaonesha wadau wa karibu yake kabla ya matokeo kutoka watu wakawa wanajijua kama wamekula sup ama nn..
ila hakuwa anataka kubadili sababu wangejua mapema
 
Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
 
Wasipomwajiri atahack database ya bank kuu aanze kulipa madeni na malbilizo ya wafanyakazi na makampuni
 
Sijawahi kusikia hawa wakwetu wamehack chochote,nahisi hawana extra curriculum au ni wazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu wameshafanya hili maana kumbuka hata wao huko SA walistuka baada ya jamaa kuwa keshanyonya sana. Sasa nahapa inaonesha dalili ni hiyo maana makusanyo ni mengi ila mshiko hauonekani usikute kuna wadau wanajilipa kiinternet subiri mpaka tustuke
Hawa serikali zetu sijui zinakwama wapi
 
Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
Hata wizi wa kutumia akili ni ELIMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom