Imagine ndo mwanao
huna mapenzi yoyote kwa huyo mama umefwata pesa............vijana wenye tabia kama zako mnapenda kulelewa
Kosa langu ni nini hadi mnanishambulia hivi? Kama nna mapenzi ya kweli mnajuaje!! Sijafuata hela bana
51 - 34=17 wewe Ni sasa na mdogo ake WA mwisho Ana haki akudharau
Wewe si bure umelogwa, ujasiri huo umeupata wapi? Au fedha ndio zimikuvuta? Naamini unam beep is lael akupigie ktk ya barabara. Jiandae kupoteza uhai. Fedha hazitafutwi kwa njia ya mtelemko