Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Muhurumie huyo kijana unamsababishia maumivu tuu ya akili,nafsi na roho.Na unataka kumtumia huyo mama kama ngazi tuu kufanikisha mambo yako kama walivyosema wadau angekua kijana mwingine sa hizi marinda yangekuwa yanawaka moto.
 
Kuna huyu mama wa makamo ana 51 kwa sasa,Mimi Nina 34,
hivi mkuu utakuheshimu vipi wakati unatembea na mtu
ambaye yey anamlinganisha na rika la bibi (kumbuka mtoto wake
mwingine kaolewa).
Pia hesabu za chekechea , fanya hivi.
Kikongwe 51-34 = 17 (variance na kikongwe)
34-21 =13 (variance na kijana).
34-19 =15 (viarance na binti).
je, unadhani hapo utaheshimika vipi hapo...?

Hii analysis nimeipenda sana ipo kisomi zaidi labfa kama mleta mafa alikimbia hesabu otherwise ni majibu tosha.
 
Kwa hyo hao watoto unawaitaje?? Wadogo zako au watoto zako?? Je huna mipango ya kuzaa au una watoto??

Piga kazi Mzee ndio style za siku hizi
 
waganga wa kienyeji/mitishamba mabingwa wa kupenda kubebwa...
 
Unapokosa kujiheshimu kama mwanaume, usitegemee kuheshimiwa na wanaume
 
nimeamini kuna uchawi,
haiwezekaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Pale mwenye makosa anapoona yupo sahihi.................................
aaaah!
Kweli kutana na Mengi duniani, lakini Mungu akujalie usikutane na Umaskini.......................................
..............................................................
sina cha kusema,
roho yangu inaniuma, unamkosea adabu kijana wa watu......................aaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
51kwa 34 hahahah ama kweli mapenzi hayana umri komaaa kidume siku ukipata akili utaacha.
 
Hii kanuni ya umri wa miaka fulani kuwa na fulani inatoka wapi? Nani kaianzisha? Huyu bwana anakuwa anatenda dhambi kwa kufanya hivyo kama wamefuata njia sahihi. Kaeleza akitoka na gari ya huyo mwanamke, amesema yeye hana? Kwanini tunakimbilia kuwaza mali tu, je na sisi tulifuata mali? Ni kweli haiwezekani watu hao wakapendana?
Jamani tuamini, kila mtu anaweza akachagua anachotaka. Angekuwa mwanaume amevuta binti wa umri huo tusingeonana kelele. Kwanini kanuni ya kimila tuilazimishe kwa kila mtu?
 
watu wengi hawajui kuhusu uhuru wa nafsi huru,,kila mtu ana choices zake hapa duniani,,no hard feelingz
 
Huyo mama naye ni binadamu. Ana mahitaji yake ya kimwili.

Hayo mahitaji ndo ayatimizie humo ndani na hilo li kibuzi maringo? Huku ana watoto Wakubwa? Waiiii ujinga gani huo....akatimiziwe huko kwenye frame
 
Umepata watoto wa kambo wastaarabu hongera, ningekua kati yao ningeshakutoa ngeu
Tena atamiguu anastahili kuvunjwa..kijana mzima anafurahi kulelewa anasema wazi kabisa huwa anaendesha gari lisilo lake... duu Jf noma sana
 
watu wengi hawajui kuhusu uhuru wa nafsi huru,,kila mtu ana choices zake hapa duniani,,no hard feelingz

Hakuna tatizo huyo maza kuwa na msela hata kama maza ana 50 msela ana 18 ni yao hayo na mapenzi yao, tatizo ni kuleta hilo limsela nyumbani wakati anaishi na vijana wakubwa huu ni uhuru au ujinga?
 
Tena atamiguu anastahili kuvunjwa..kijana mzima anafurahi kulelewa anasema wazi kabisa huwa anaendesha gari lisilo lake... duu Jf noma sana

Ha ha ha hata kuendesha gari aendeshe tu ikibidi avae na madera ya huyo maza dah part inayoleta hasira ni msela kuhamia hapo nyumbani yani nnavojisikia hasira utadhani sheikh kahamia kwetu lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom