Mwanadada wa JF kanitongoza

So what....?????
 
Pumba***** dume zima huna hata siri. Mwenzako amekuthamini ili akuponye na hata kaugonjwa ka nyeto wewe unakuja kututangazia huku. Ukiachwa utaanza kuja kulalamika tena na sababu lukuki na nahisi siku ukipewa tunda utakuja kutuhadithia humu ndani.

MWANAUME JIFUNZE KUWA MSIRI.
 
Kiukweli ni kwamba hakuna kwakuwa hata hii habari yenyewe ni ya kutunga kiwango cha ritcher 7.0
 
kwani siruhusiwi kuomba ushauri?Soma vizuri hyo thread af uje tena
 
hapa tunaongelea kutongozwa mkuu sio uamaizing

Ndo humo humo, kwani unadhani unaanzaje kutongozwa?

Anasema uko amaizing, kesho anataka akuone, baada ya hapo anakuomba umuamaze zaidi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…